@niffer_cosmetics:

Niffer_cosmetics
Niffer_cosmetics
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 15:44:40 GMT
290871
33989
1474
1793

Music

Download

Comments

annyvny1
anny :
manen yak nayaish its real point🥰
2026-09-09 15:51:42
0
77bambam
77BamBam :
I can do anything God allows me to, praise God 🙏
2026-09-09 13:55:41
0
meyanofficial0
Meyan@ :
Someone else’s emergency doesn’t automatically become your responsibility. Protect your peace. 📌
2026-08-30 16:12:41
232
dramatic_dee.toto
Dee Fragrance Collection :
ngoja nimtumie Baba angu maana haelewi hao watoto wa dada zake alio walea Leo hii wanasema ngoja tuone mtoto wa mjomba atafika wapi , mtoto mwenyew ndo Mimi na mdogo wangu wa darasa la 6 yaan wanafurahi saiv wazazi walivyotengana na mama angu still na muuguza Mimi uku na soma 🙌ipo siku ntakuja kutoa ushuhuda Mungu yupo na Mimi
2026-08-30 15:55:04
484
adelinajohn69
Adelina John :
Niseme ukweli Niffer una akili nyingi na maono makubwa sana, Mungu akutunze mdogowangu
2026-08-30 16:07:55
186
adamtito905
TANZANIAN :
sawaaaa sura ya baba tumekuelewaa
2026-08-31 00:31:44
54
zesty102
zestykemmy🌶️ :
wakati ndio maana pamoja na vitu vyote ambavyo mimi binafsi mwenyezi mungu amenibariki navyo sijawahi kukaa nikiwa pekee yangu nikasema mimi nuhu maana mimi hapana kwa sababu chochote mungu anachokupa anaweza kukichukua lakini pia kwenye huo huo wakati namna ninavyouogopa kila mtu anawatati wake jikumbushe wewe ulivyokuwa mdogo kuna yule ndugu mmoja ambaye alikuwa anasaidia yaani kila yaani kila mtu kwenye ukoo wake huyo ndio ndugu ambaye mtu yeyote akipata tatizo anamkimbilia huyo ndugu akiamini atapata msaada kwa huyo mtu na maskini unapo sasa wengine hawana hiyona au ndugu wanatoa si mtoto wangu anatoa sijui mdogo wangu anatoa sijui shangazi yake anatoa anafanya alafu hao watoto wa shangazi au si mtoto wa mkubwa sijui ndugu wanakuja wanakua sasa maisha wanayapatia wanafanikiwa halafu wakati huo wewe yule ndugu ambaye ndio wewe sasa umeniangalia huyo ndugu ambaye wewe ndio ulikuwa unajitoa unafanya nini kila kitu baadaye hao ndugu ndio wanaanza kusema eh maisha yake yote sasa hivi yameganda eh alikuwa anajifanya mtoaji alikuwa anajifanya yeye ndio kila kitu suzu mmh wewe ambaye sasa hivi unajisahau kujiweka wewe kwanza ili utoe furaha kwenye maisha ya watu wengine sijui mtoto wa shangazi sijui kusoma mkuu sijui ndugu zako sijui kina nani yaani unafanya kutafuta kumfutability wale watu wawe na amani wawe na furaha kinachokuja kutokea ndio hao wanakuja kukudharau wanakuja kuona wao ni bora kuliko wewe kwanza hukuwahi kustahili kuwa hapo ulipo una kipi hasa cha kuwa yaani wanaona kama tena wanasema maisha ya mtandao yalivyo yaani wanaona kwamba ni rahisi sana kuanza maisha na wakafanikiwa na wakatoboa wanakudharau jamani saidieni mnavyosaidia jitoeni mnavyojitoa kwa ndugu kwa marafiki kwa familia lakini kumbuka mtu namba moja ni wewe mtu namba moja ni wewe binadamu hawakumbuki hawana shukrani utajitoa mpaka ubaki uchi kuna siku watakufanyia kitu neno dogo tu samahani hawatosema hawatasema hawatakumbuka yaani tena ndio wata hmm wewe unahangaika na familia za watu mtu kila siku anakuja kuamini jamani nyumbani sijui nini anakuja kukoma hela ya kula wewe tena unakuta wanajinyima wewe nyumbani na watoto wako unakula dagaa ila unayompa yeye anaenda kununua nyama 😂😂😂
2026-08-30 17:06:32
33
nayfat11
nayfatsalim :
huyu nibababaangu kabsaa kasaidia watoto wengi sanaa sasahiv wanamaisha Yao hawamjali kwetu kulikuwa nawatot weng sahiv hamna hata mmoja🥺
2026-08-31 05:45:46
67
mohamedswaka
Kivurande :
Niffer umeongea kama watu kumi my young sister God bless you abundantly NIIFFER
2026-08-31 04:29:52
36
victoria.mwimbe4
vee🦋♥️🔐 :
kweli kabisa dada
2026-08-30 15:47:01
58
mim_lonnert0
mim_lonnert :
huyo ni mama ang jmn alitukanwaa jamn sitakuja kusahau aliambiwa uchi wake umefikisha wap zaid ya kuzaa tuu ila inshallah Allah atanipa nimuheshimishe mama siku mmoja inshallah 🤲🤲
2026-08-30 18:09:41
83
binthalal009
Galbysuu :
ever since my dad past away things are not the same anymore🥺 he was a good person Allah mrehem babayangu mpe pepo na umfugulie kaburi lake ya raab miss u so much
2026-08-31 05:27:41
16
devotha_david
MC Devotha | Events :
Watu wengi tuliowasaidia ndo wachawi wetu.Nimeona kwa wazazi wangu!😭very sad!wema hulipwa kwa ubaya.Lakini hatuwezi kuacha kutenda wema!
2026-08-31 06:12:16
29
nassor.gajian
Toto Baya :
mungu akuhifadh kwa maneno matamu
2026-08-31 03:44:50
21
garder_cleaners
garder_cleaners :
Nmejiskia kulia
2026-08-30 16:42:00
18
shaenyshanelly
shanelly :
nikweli jaman ukweli mtupu
2026-08-31 07:09:16
20
jamesncheye5
jamesncheye :
Hayo ndio yamemkuta Baba yangu 🙏🙏🙏 sitorudia kosa Kila mtu atunze watoto wake.
2026-08-31 01:24:21
16
fajjy.dulzdida
thuma baby❣️🥰 :
jamani nikumbusheni baadaa miaka 5 nataka nikumbushe mtu Allah Akitujaaliye uhai na afya
2026-08-31 05:27:06
5
najma.suleyman
najma birian kahama :
Uyo ndugu ni mama angu na siipend hio tabia yake sana maana kalea ndugu zetu wengi sana lkn amna ata mmoja anaemkumbuka mama angu lkn yeye bado anawapokea tu nyumbn hua sipend sana bas tu
2026-08-30 19:00:16
23
zabby135
ꨄzabibuᥫ᭡☾ :
mimi mama angu alisaidia watu kwa kila ndugu aliyekua na shida ila alivyofariki tunasemwa sisi watoto kwamba mama etu alikuwa anajiskia ilaaa ndugu🙌🙌🙌🙌
2026-08-30 15:49:11
30
__justtiffany
TIFFANY🦋 :
Alaviiyuuuu
2026-08-30 15:49:03
8
winnifrida31
winnifrida :
naisi inabidi tulearn not to expect much my dad always say this ukisaidia mtu Fanya tu Kwa moyo usitegemee utalipwa badae ,ukiona umeguswa na kile kitu ambacho ndugu zako wnapitia ukiwanacho saidia but usiexpect watu watarudisha fadhila
2026-08-31 11:59:12
11
reldahgamba
reldah gamba :
Nifer, Yani umeongea hundred percent true... kabisaaaa
2026-08-31 03:50:26
6
pendomshana
user3433989850892 :
😢😢😢😢punguza sauti kidogo
2026-08-30 16:38:37
7
To see more videos from user @niffer_cosmetics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About