@sirini_men: Mwanaume anaweza kujiona anajitosheleza leo, lakini maisha hayajengwi peke yako. Hujui nani atakayekufungulia mlango kesho. Hujui nani atakayekushika mkono wakati mambo yatakapokuwa magun Hujui nani atakayekupa connection, idea, opportunity au direction utakayohitaji. Usimdharau mtu kwa sababu humuhitaji leo. Heshimu watu. Kwa sababu kwenye safari ya mwanaume, hujui ni nani Mungu atamtumia kukusaidia kufika unakokwenda. #SIRINI #kenyatiktok #tiktoktanzania🇹🇿 #fyp #MensMentorship