@bilaly.s.muna:

Bilaly S muna
Bilaly S muna
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 16:08:45 GMT
73908
9542
174
294

Music

Download

Comments

user3650859440787
Asmaa juma❤️💯 :
Daa kaswida inaitwaje pls
2026-09-03 14:03:15
1
user307710639937
dewji :
nilikuwa mdogo sana
2026-09-17 14:44:15
1
ummuabdurahman945
mamuu 💘💘💘 :
assalam aleykum naomba unisaidie jina ya hii qaswida
2026-09-04 04:04:50
12
saunaibrahimu
Sauna ibrahimu :
kiukweli hii qaswida ukiiskiliza lazima utoe machozi😢 sijui kwann yani unajikuta unalia bila kutaka yanatililika tu
2026-08-31 04:40:15
8
husina.lameki
Husina Lameki :
jamn inaitwaje
2026-09-04 16:35:29
0
mwamvua.said8
Bff♥️♥️ :
sio kuikumbuka tu mm ninayo kabisa
2026-09-04 23:12:41
2
user7677638603196
farhiyaalhaji :
inaitwaje
2026-09-01 00:01:00
2
mariamuomary263
MARIAMU OMARY :
inaitwaje jamani
2026-09-04 19:32:18
0
nangaripambaog
Nangaripamba og :
Newala
2026-09-01 09:48:18
1
adm.shemdoe
Adm Shemdoe :
naipenda sana jamani
2026-09-01 16:34:58
1
sharifuzuberi
Sharifu Zuberi :
tuombe mungu atujalie mwisho mwema
2026-09-06 10:04:54
1
yusuph.godfrey1
yusuph godfrey :
Mimi nikiwana miaka na8
2026-09-05 18:49:24
1
nurat6625gmail.com
NURAT ZUAKUU :
mm hua najihis tu kulia
2026-08-31 10:21:16
2
nusurashabani196
Nusura Shabani :
naipenda sana
2026-09-04 06:29:38
1
mary.girl179
mary girl 🥰 :
Qaswida za sahivi nyingi za ndoa tu zingine kama tarabu Qaswida ilikuwa zamani kwa kweli
2026-09-06 17:32:27
4
user94504953958787
ctyeelnillani💞💞 :
naipenda sana hii qraswida
2026-09-02 19:46:53
2
user1148230486583
narsa zench :
Mimi hapa
2026-09-02 14:49:12
1
user9805549825544
Minah :
Yani Qaswida yazamani lakin kila ukiiskiliza nikama imetoka jana, 🥰
2026-08-30 18:34:53
3
user7922338819612
KHAMIDA SULEIMAN :
mm yaan bas2
2026-08-30 20:32:38
1
nawal.abdullah.sa
nawal Abdullah said :
yahabibil Mustafa jmn yazaman hii kasida naipenda♥️♥️♥️
2026-09-04 05:17:36
1
tabusagamba
Sagamba qr :
Naipenda mnoooo
2026-09-04 07:33:56
1
user7478061251391
chanduu 0778863647 :
so kukumbukaa tuu inanilizagaa sana hii
2026-08-31 16:22:17
2
mwajabu.mohamedi24
Mwajabu Mohamedi :
ishallah mungu akubarik na akupe nguvu zaid nzuri sana
2026-08-31 00:57:13
1
hamidachekere
Hamida Chekele :
mm nikoisikianga huwa inanipa machungu sana naona machoziyanatoka 2 bila sababu
2026-08-30 21:44:19
1
tzobam
yasini :
allhu atujarie mwisho mwema
2026-09-05 19:28:31
1
To see more videos from user @bilaly.s.muna, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About