viwanja 10×800,000=8,000,000 afu wakupe mkopo wa milion 50 unafikiri wenyewe wehu😁😃
2026-08-30 19:24:48
4
⛓️𝘽𝘼𝘽𝘼 𝙋𝘼𝙍𝙊𝙆𝙊⁴⁷ 🥷🏾 :
mbn kama umenipa wazo
2026-08-30 17:07:48
3
Mentality :
2026-08-31 08:34:55
0
pangraminvestments :
hakuna kiwanja kilichopimwa utapata kwa 800K
Ukiingia tausi kuna mradi wao bei ndogo kabisa 4mil
2026-08-30 17:04:59
1
ommypoultryfarm :
Ndio kitu watu wanafanya saivi
2026-08-30 19:20:13
1
Renalda Joseph :
laki8 viwanja 10 ndokipengele
2026-08-30 16:14:23
0
yuzzo tz :
bonge la plan
2026-08-30 17:27:57
1
user37011885910717 :
akili kumkichwa mtu wangu 😂😂😂
2026-08-30 16:49:03
1
understatement :
Hii Post itawafanya Mabenki yaongeze umakini
2026-08-30 16:14:04
1
Andres Pirlo :
code kubwa sana hiyo askofu usiwaeleze wengi nakalibia vikindu😁
2026-08-31 11:34:49
0
noah✨️✝️. :
Plan kama hizi ujaga ukiw na kitu mkononi maji yaki kata apoh tabu iko pale pale life ngumu
2026-08-31 10:48:35
2
amosmichaeltz :
spirit za wachaga asee kuna mxee ndo zake
2026-08-31 10:20:20
1
Aziz :
kwer ila huyo awez kukbar Mil 5
nianze kumtfuta Dotto mambembwe 😂
2026-08-31 02:49:02
1
⛓️𝘽𝘼𝘽𝘼 𝙋𝘼𝙍𝙊𝙆𝙊⁴⁷ 🥷🏾 :
🥰🥰🥰
2026-08-30 17:06:27
0
Kibabàge :
😂😂😂😂
2026-08-30 16:53:29
1
understatement :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-30 16:13:00
1
SOLDIER 96🇹🇿 🇺🇬🇷🇼 :
@ASKOFU ✝️⛪ nimekuelewa ila nimegundua una watu wengi make kuna watu wanakujibu bila kusoma na kuelewa ulichoandika na bila kuelewa kwanini umpe afisa mikopo wa bank iyo M5 binafsi nimekuelewa na michezo hiyo mingi sasaivi kwenye jamii
2026-08-31 05:43:23
0
To see more videos from user @askofu_2000, please go to the Tikwm
homepage.