@elegance20251: Replying to @Mama F❤️E❤️A❤️ sukari kuna namna nyingi za kuweka kipenzi! Inategemea na unavyotaka popcorns zako ziwe ✅#elegancefamily

ELEGANCE FAMILY🧑‍🧒‍🧒
ELEGANCE FAMILY🧑‍🧒‍🧒
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 16:26:21 GMT
123417
4205
122
215

Music

Download

Comments

emmy.killeo
Emmy Killeo :
too much sugar my dear
2026-08-31 08:05:31
5
getrudendenji
getrudendenji :
asante
2026-08-31 08:08:55
1
sexy_mom586
Sexy_mom💃 :
Sukari kwenye Pop corn?
2026-08-31 04:33:12
10
mariamluvanda63
Mwarabu :
sukar nying San wangu
2026-08-31 06:27:51
0
joice.lukuta
Mama F❤️E❤️A❤️ :
Asante kwa kunijibu kipenzi nimekupenda bure, maana nlikuwa najua kuzipika tu ila sukari nikawa sielewi unawekaje 🥰🥰
2026-08-30 16:41:58
34
minahmedics0
Minah medics💉💊 :
mbona umeweka sukar nyingi sana
2026-08-31 05:35:32
9
faukidoty5
faukidoty2 :
kumbe mnawekaga sukar
2026-08-31 11:40:01
1
ashayambogo
ashaya Mbogo :
Zina nukia jmn🤣🤣
2026-08-31 07:31:46
1
jazzyy750
jazzyy750 :
chumvi hawaweki?
2026-08-31 04:07:13
4
hilaria.tesha
Hilaria Tesha :
mbona sukar nyingi
2026-08-31 10:56:08
1
blessprisca
blessprisca :
mahindi ni ya kawaida au ipo special kwajili ya popcon
2026-08-31 11:16:47
2
sophiya9553
sophia beauty ❤️❤️💕🌹 :
kazi nzuri 🥰🥰
2026-08-31 09:10:15
1
saadasaid50
saadasaid :
nakupenda mwaya achana na yachuo
2026-08-31 08:08:07
1
fridamassawe2023
fridamassawe2023 :
watoto wanazipenda sana tatizo nkikaanga sufuria huwa inaungua sana
2026-08-31 11:43:12
1
user2241635996984
Daniela :
ukipika za rangi nione
2026-08-31 09:37:15
1
kabulacsgqu
Ummul Zunaira :
umeweka na maji my?wanangu wanazipenda
2026-08-31 00:14:05
1
marrybright8
marry :
kipenz naomba kuuliza na rangi unawekaje dear ili ziwe na rangi
2026-08-31 07:36:08
2
stagirlofficial
flourish grl :
mahind mnanunua wap
2026-08-31 06:59:52
0
user7057190581619
user7057190581619 :
wanawake jeshi kubwa tunaweza kwa uwezo w Mungu bila kuwezeshwa n binadam.ongera kpnz
2026-08-31 10:20:28
4
dinasylivester
Dina kagina :
Staki kukumbuka 😂😂😂😂
2026-08-31 11:03:54
3
babe.nee.cute4
babe nee cute :
SEM huy kawekaa mafuta mengii san
2026-08-31 08:15:09
4
flowerdar123
flowergirl :
mafutaaa😁
2026-08-31 07:21:15
1
witness.mbonika
witness Mbonika :
ukitaka kuaza kukaanga unaazaje na mafuta au sukar
2026-08-30 19:05:29
2
To see more videos from user @elegance20251, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About