@bone_health_center: MAUMIVU MAKALI YA SCIATICA SI JAMBO LA KUPUUZA! Unahisi maumivu makali kuanzia kiunoni, kwenye makalio, kushuka nyuma ya paja hadi mguuni? Unaweza pia kupata ganzi, kuchomachoma, kuwaka au mguu kuwa dhaifu. Sciatica hutokea pale sciatic nerve inapobanwa au kuwashwa, mara nyingi kutokana na matatizo ya mgongo kama disc herniation au mabadiliko ya uti wa mgongo. ⚠️ Usizoe maumivu kwa kutumia dawa bila kujua chanzo chake. Suluhisho sahihi huanza kwa kutambua chanzo cha tatizo. 📩 Ikiwa unasumbuliwa na maumivu ya sciatica, nitafute kwa ushauri na mwongozo wa hatua sahihi kulingana na hali yako. 👉 Tuma ujumbe inbox/WhatsApp sasa, eleza dalili zako na muda ambao umekuwa ukisumbuliwa. Afya ya mgongo ni msingi wa mwendo wako. Usisubiri maumivu yaongezeke.
Meshack_Bone Solution
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 16:37:42 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @bone_health_center, please go to the Tikwm
homepage.