@saa24_digital: Hali ya hewa ilivyobadili muonekano wa Jiji la Arusha. #saa24

Saa 24
Saa 24
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 16:43:37 GMT
230544
9473
257
751

Music

Download

Comments

harleyquiin77
Empress👑Aira🌬 :
🤔ndo hiyo mvua ya kisonono sjui kinini🤔inakuja ama?
2026-08-31 11:02:05
246
pnkny64
neey💗 :
kuna mtu kasema mvua ya kisonono🤣
2026-08-31 16:44:06
144
ayserayoub
ayser ayoub :
Arusha umerud kwenye uschana wake
2026-08-31 08:44:30
193
mr.nobody92797
mr nobody :
me inanikera mbn aiiji dar maana so kwajoto ilii
2026-08-31 05:33:42
72
user6902195829015
Asha Bwisige :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-08-31 15:25:52
91
offcialmamy
🌸amina🌸🌸 :
hii ilitokea 2019
2026-08-31 05:45:29
57
nissan.juke14
8ez :
I really miss Arusha
2026-08-31 05:43:55
5
kimking2008
King Leo♌🦁 :
Hii ilikua ni mwaka 2019 nilikua latano na ilikua ni siku ya jumanne tarehe 1 mwezi wa 10 nilikua sikuyangu ya usafi naikumbuka hii siku anga lilikua lekundu tukajuaga ni mwisho wa Dunia 🤣🤣 ila akiliza kitoto
2026-08-31 20:17:58
16
margaret_mic
Margaret :
Hii inatokeaga Kila baada ya miaka saba ilitokeaga 2012,2019 na huu mwaka
2026-08-31 09:12:28
13
user3630429356851
user3630429356851 :
moshi wa majani ya aruxha yalizidi
2026-09-29 11:05:59
2
angel.pillan
Angel Pillan :
ilishawatokea nkiwa mdog babu yang aknimbia ni mwisho wa dunia nililia ase
2026-08-31 11:42:13
12
jastinimtende
jastinimtende :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-09-11 19:00:39
1
user3777295265572
Babe girl :
mungu tujalie mwisho mwema
2026-09-01 12:27:55
18
27.92004
pretty mars :
hii sku stoisahau nl kua darasan jmn nililia mn nljua ndio skuyamwish imefk. alafkuna mtu uko bz anaomba ije kweny mkoa wao hy sy baridi
2026-08-31 10:10:24
6
golden..1379..boy
Golden..1379..boy :
msijali nyie ombeni mungu 2
2026-09-14 21:15:44
2
black09jm
Black Girl 🦋 :
subhanallah
2026-08-31 08:37:31
9
upendokamwagila3
upendokamwagila :
mungu tusaidie
2026-09-17 04:01:23
1
morismartin40
moris martin :
nikiona hivi Arusha 😱 natamani tu kuendelea kukaa Tabora 🤣
2026-09-01 20:49:43
0
user18403193694806
ESIJO💪💪💪 :
Arusha ipi hiyo mwaka ganiiii huo
2026-09-27 20:00:03
1
user2624619833824
Grace :
da mungu anafanya yake mungu atuhurumie
2026-09-11 20:13:22
1
neemahamisi398
Neema Hamisi :
yaan mnaleta masiala baada tuombe toba mungu atuepushe na mabalaa ndo kwanza mnaleta matani hi sio Hali ya kawaida
2026-09-05 19:28:10
4
zubery77
zigeonlover🇹🇿 :
tumrudie mungu jamani😳
2026-08-31 18:32:59
1
kidoti223
REY ♈️ :
jamani mimi nipo arusha ipi kwani maana nipo nnje muda wote na sijaona
2026-08-31 16:09:41
3
hellensalugag3
hellensalugag :
mungu atusaidie katika jina la yesu🙏
2026-08-31 18:42:30
3
rahmayusuph639
Rahma Yusuph :
ewee mwenyezi mungu tuhurumie tuna watoto wadogo..
2026-09-11 18:36:48
1
To see more videos from user @saa24_digital, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About