haya niambieni sas kati ya mamba na kiboko nani kiboko
2026-09-02 17:43:22
1
mungu ndio hakimu :
wengine siwakuwachezea 😅😅
2026-08-31 04:20:17
6
bolooo efx :
na mkiona watu wamekaa kimy mtulie so mnakimbilia watu ovyo wengine wanaroho za chatu huku
2026-09-01 15:05:05
6
filaun :
mamb nae kaona isiwe tabu
2026-09-02 16:24:08
1
Mohamed Mazrui :
ai hiyo
2026-08-30 19:43:36
1
MACHAKI ♓ :
namuona mwanangu mbamba anatabasam tu kwamba Leo siku yake ineenda kiofsa kabisa
2026-09-02 18:20:17
1
MARK OUT SPARE 🏍 :
bwana atawapigania nanyi mtanyamaza kmy🙏🙏🙏
2026-08-31 12:27:44
1
Brayann Fladius :
hiii ndo maana halisi ukinikuta na stress zangu niache we pita tu tusisumbuane Aya sasa 😳😳
2026-08-31 18:30:28
2
MR blessings :
Musa aliwaambia Waisraeli wasiwe na hofu, wasimame imara na waone wokovu wa Bwana. Mungu angewapigania, wao wakabaki watulivu.
Kwa hiyo ujumbe wa “God will fight for you” una maana: Usikate tamaa wala kuogopa unapokabiliwa na jambo gumu; mtumaini Mungu, kwa sababu anaweza kukupigania na kukutolea njia.
Picha hiyo pia inaendana na tukio la Waisraeli mbele ya Bahari ya Shamu, wakiwa wamezingirwa na changamoto lakini Mungu akawaokoa.
2026-08-30 18:45:54
5
ommyr :
mda mwengine hata malaika wa peponi hutemberea moton Asante🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-31 06:27:11
1
dv :
Safi sana kiboko na mungu akubariki amezoea kula wenzie
2026-08-30 18:06:13
1
Dullah Mjesh :
Saf kabisaaaa,mpa wenzie nae huliwaa
2026-08-31 07:49:14
0
rizzo 45 kitengo :
asieskia................
2026-08-30 19:00:58
0
user6614858110662 :
mwanakuritafuta mwanakuripata
2026-09-02 14:39:56
0
Abdillah Bakar :
Kutoka 14:13–14: Musa akawaambia watu wasiogope, wasimame imara na waone wokovu wa Bwana atakaowatendea. Pia akawaambia kwamba Bwana atawapigania, nao watatulia.
2026-08-31 08:04:06
3
@Nnkobrand_Tz1 :
amini ipo siku maandiko yatatimia
2026-08-30 16:55:34
1
Ibrahim Omar abdallah :
Bwana alisem musiogope AI 😳
2026-08-31 09:26:39
0
𝕌𝕟𝕤𝕥𝕠𝕡𝕡𝕒𝕓𝕝𝕖-🥷 :
Kutoka 14
13 Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
2026-08-30 21:14:09
0
Charles ngailo :
jaman rayvany
2026-08-31 10:10:46
1
Junior_Jr®⚽ :
🥰🥰🥰🥰Amen
2026-08-31 12:11:58
1
ONE KK TREVO :
ah
2026-09-02 21:39:19
0
Ibrahim~joseph :
mh!
2026-09-01 08:44:10
0
jh kkslm :
jbjnhvh
2026-08-30 19:41:16
0
To see more videos from user @juliusnnko, please go to the Tikwm
homepage.