@allys_550: Usijidanganye kwamba umevuka salama pale mtu anapokaa kimya baada ya kumtendea ubaya. Wakati mwingine ukimya huo ndio mwanzo wa malipo yako. Panda mbegu za wema ili uwe na amani. 💯⚖️ ​#ElimishaNafsi #ukweliwenyewe #fypシ #SwahiliQuotes #TikTokTanzania

ABDULLAH A AWADH
ABDULLAH A AWADH
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 17:06:20 GMT
1120
135
5
18

Music

Download

Comments

user1261977310855
vidiat jamal :
ukimya wa mtu uliyemuumiza bure ni ishara kwamba amekukabidhi kwenye mikono ya wakati ukianza kukufundisha nidhamu haunanga huruma wala msamaha utalipa kila kitu
2026-08-30 19:06:58
2
jamalsalim661
yamaldin :
yes
2026-08-31 23:22:11
1
mommynaababy
mamy♥️♥️ :
kabissa
2026-08-31 19:47:08
1
salmaomaya1
Salma omaya :
Kabisa
2026-08-31 10:54:23
1
To see more videos from user @allys_550, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About