@arafa_mohd40: Mtume anasema"Nimewaona motoni wengi wao ni wanawake" naionya nafsi yangu na kuihusia nafsi Yako kumcha Allah ili kuepuka Adhabu hizi, hakika Adhabu za Allah hazizoeleki😥

Arafah Moh'd🦋
Arafah Moh'd🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 17:09:33 GMT
307253
84641
3022
5408

Music

Download

Comments

mapande.trainer
Twaha umeme :
Hawa ndio wakuoa 👍
2026-08-30 18:33:28
448
lady.pekee
Lady Pekee :
waislam TAKBIR🤲
2026-08-30 18:24:41
2161
vashakonolajinisubiyani
Director vasha :
HII NDIO CONTENT BORA 2026 Allah awalipe maukhty
2026-08-31 05:44:03
1033
user665432170777
aboud saleh :
hio Sasa ndio content,safi sana good lesson
2026-08-30 18:29:53
1314
cwtynehna
Nehna :
Toba tumeisha mungu atusimamie 🥹
2026-08-30 19:58:38
169
_dejan001
WARNING⚠️ :
Mkristo ila nimependa hii content
2026-08-31 07:29:25
137
minahmaja1
minahmaja1 :
Allah tujaalie wanawake wote tuingie peponi
2026-08-30 20:18:51
384
rehema.oman
ukhty rehema 🥰❤️ :
Allah aqibar
2026-08-31 09:38:02
1
nurkicdeswat
Nurkic De Swat 🎈🖲 :
Good job my sisters leteni nyngi
2026-08-31 04:05:31
1
user5118307003817
ashraa :
ALLAHU AKBAR, Allah atupe mwisho mwema wanawake 🤲🤲🤲🤲
2026-08-30 18:03:39
457
aminahassan285
Tawakal :
Content kama hizi ndio zakupewa like, wazazi wa hawa mabinti Allah awabarik maa sha Allah 🥰🥰🥰
2026-08-31 06:27:27
151
allymuawiyahmuawi
KIKOSI CHA NOVEMBER :
s.a.w....s.a.w....s.a.w...S.A.WA
2026-08-31 04:58:39
3
bellaproqueen
BellaProQueen :
Mashallaah 🥰🥰
2026-08-31 09:19:18
1
user7671792813400
salma suly :
mungu awalinde mabinti tunashukulu kwa kutukumbusha nimewapenda sn🥰🥰🥰
2026-08-30 20:19:56
57
mariamu1975
mariamu :
aleykum salaam
2026-08-30 19:25:55
1
marydiamocy
Mary diamocy :
Mpka kumuudhi mume adhabu Kali hivyo 🥺🙌🏽
2026-08-31 02:53:05
13
ashura.salum34
Ashura Salum :
Alla akbar
2026-08-31 03:11:09
1
user403769673765
Love 💕💕 Qur an :
mashaallah hichi ndicho kizazi chema allah awajalie kile la kheri yaa rabbi tujaalie mwisho mwema aaamin
2026-08-30 21:27:22
6
user9376868104073
Nurdenhassanisajoho :
Mashanlaah 🥰 Allah awaepushe na adhabu hizo dada zangu
2026-08-31 03:38:44
14
halima.atway6
D 2💙 :
wakat ujao muongelee na za wanaume inshallah 😁😁
2026-08-31 08:29:09
18
raji.bronze
Raji Bronze :
Hakik adhabu za mungu n kal San 😭😭😭😭
2026-08-31 05:05:38
9
rashley572
Rashley :
mashallah asanten kwa kutukumbush
2026-08-30 18:00:53
48
mabobo98
Really mabobo🍒 :
Nawapenda maukhty wangu lakin kuweni makini hap mpo kweny reli
2026-08-30 18:23:21
99
To see more videos from user @arafa_mohd40, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About