@abdulhalimmrjn: Majibu kwa mawahabi #Rudini kwenye Qur'an mjue mtume s.w

@Abdulhaleem@Marjany@
@Abdulhaleem@Marjany@
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 30 August 2026 17:12:04 GMT
6789
266
34
29

Music

Download

Comments

mukrimtwalib0
Mukrim Twalib :
kama ni ivo mungu ameapa na laasir kwaiyo nibora kuliko lailatul qadir
2026-08-30 18:00:24
4
abuunaadir2
عبد الله السلفي :
أدلة غير مناسبة بما تقوله.
2026-08-30 17:48:41
3
esir.abdi
Esir Abdi :
katafute watoto wenzio ucheze nao
2026-08-30 18:54:31
3
abu.hashim.makau
Abu Haashim :
Mwalimu wangu hao huamini hadithi zaidi kuliko Qur'ani...hata ukiwafunza hawata kuamini maana tayari wanaamini Qur'an ipo na aya zilizopiywa na wakati hazifanyi kazi wakati huu wa hadithi za Mtume....Huo ndio mtihani walio nao...
2026-08-30 18:39:12
1
user7125305314080
bashir# Huseni$#officilly :
mwezi na MTU nani mzuri zaidi?
2026-08-30 19:20:02
0
abunasra385
Abu Nasra :
lkhtilaafu zitatufikisha pabaya sana.Tufuateni Uislamu kama walivyofuata maswahaba r.a.
2026-08-30 18:24:51
1
allykichechea
Ally Kichechea :
shekh tusome ndo tutafte ubishani
2026-08-30 22:47:41
0
hullkkarim
Hullk Karim :
Mimi nimsomaji maulidi lakini saa nyingine vitu vingine hubu tuendeni pole pole tuacheni kuzidisha!
2026-08-30 22:51:00
0
abdul_rahalmaan097
abdulrahman_zungiza :
Innallilah wainnallilah rajiuni Allah (S.W) akiongoze
2026-08-30 19:51:57
0
user5814275988754
mahmoud :
allah aghlam
2026-08-30 18:52:23
0
user2019695470973
muhammed :
mjomba naona unazuga watu tu apo sema kwa tafsiri hayo ulio sema sw
2026-08-30 20:44:57
0
ustadhmunawwar038
Ustadh Munawwar038 :
sura gani na aya ya ngapi kwa ushahidii.
2026-08-30 19:38:32
0
mansourmtauni
Dr. Mtauni Mansour. :
iyo Lailatu Imepata umaakufu Sababu Ya Mtume S, A, W. Laylatu Yajulikana Kwa Idadi ya Miaka. Utukufu wa Mtume S, A, W thanani yake Miaka Mingapi
2026-08-30 18:37:05
0
abu.hashim.makau
Abu Haashim :
Baada ya kuzaliwa Mtukufu wa darja ndipo Lailatul Qadri ikawa bora kuliko miezi 1000....Maana yake utukufu huu wa Lailatul Qadri umekuja sababu ya Mtume kwa kuteremshiwa Qur'ani ambayo asingelizaliwa Qur'ani isingeli teremshwa ndio maana alipokuja Allaah akaapia uhai wake kuwa ni bora kuliko kila kitu ndio maana Ummah ukaamrishwa kumuamini na kumpenda Mtume Swalla llaahu alaihi wa aalihii wa sallam,zaidi ya vipenzi vya familia vyake, na kutakiwa wamfanye hakimu kwa kila ama la hawatakuwa miongoni mwa waumini...
2026-08-30 18:44:48
0
young_tierow
young_tierow ( SKiiZA bøy )🧢 :
we shekhe hujabobea bali watumia kifua na jazba...mungu akujaalie hekma ya uchambuzi
2026-08-30 18:56:01
0
fahmisagar5
A.SHUAYB :
ALLAH AKUONGOZE maana waelekea pabaya
2026-08-30 18:40:14
0
abasi1974
Abasi :
jaman mawahabii watatufute w2 wawa someshee et yaaa hawajuwii asaaaa
2026-08-30 20:08:51
0
tips2take
Husaid :
punguza jazba ukiongea akhii hii si vita
2026-08-30 22:58:35
0
jumanne.salimu.ha
Jumanne salimu Hassani :
wajitahidi sana kuyapambamaovu ila mwehu namwehumwenzake
2026-08-30 19:58:37
0
musicha.shariff
Musicha Shariff :
wallahi hawa makhurafi ni Allah arehemu na aongoze anayetaka... Ta'weel min ghayr daleel na tahreef ndio wanajua. Allah awaongoze
2026-08-30 22:37:54
0
bilali_bilal
Bilal G :
Waambie bn wanstuzingua hlf Elimu yap cjui wanaitoa wap hawa
2026-08-30 19:45:06
0
sayyidnaomary
شمهروش أفريقيا :
isingekua ni usiku wa kuzaliwa mtume kusingekua na usiku wa lailatul qadr 😁
2026-08-30 19:28:40
0
mohamed.nkokoo
Mohamed Nkokoo :
والعصر والضی والليل والنجم kwa hiyo hivo navo bora kuliko mtume?
2026-08-30 20:04:37
0
allykichechea
Ally Kichechea :
majibu Yako na kilochoelezwa apo ni tofaut kabisaaa unatuchanganya TU swahaba gan alikesha siku ya kuzaliwa kwa mtume
2026-08-30 22:58:27
0
salimomar109
Salim Omar :
ww siye
2026-08-30 18:53:39
0
To see more videos from user @abdulhalimmrjn, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About