nipo ongea ananianza atatafuta kitu chchte afanye anikele ili niongee,,, 🤣🤣 alafu anakwambia eeh huyu sasa ndio mke wangu ,,nikajua unaumwa bhna🤣🤣🤣
2026-08-31 14:46:40
31
🇩🇪YohbneshJochmann🇩🇪 :
Kuna mm spend kuongea alaf mwanaume anataka mtu muongeaj
2026-09-01 11:48:26
7
Josline kasonia :
Mimi siku nikiwa romantic anauliza vipi leo umeniota 😁
2026-08-31 12:17:19
9
Happynes Obed :
Me nikikaa kimya anakoswa amani,,nikicharuka anasema huyu ndie mkewangu ninae mjua sasa amekuja mwenyewe🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 11:18:21
13
Aisha :
😂😂😂😂 tenaaa tuko lelelele ni uyo mim kabisa😅😅😅😅
2026-08-31 20:51:23
1
nashy_love.2 :
🤣🤣🤣ME NISIPO ONGEA ANASEMA NIMENUNA
2026-08-31 17:58:19
1
Sophia Nyingi :
Mie ndo naongeaga mpaka nijistukia namuuliza naongea sana eeh?.
2026-09-01 14:23:46
5
Mimmah 🦋Ommy🦋9555🦋❤🎱 :
Ila mm nampaga wakat mgumu sanaa Kipenzi changu siku nikipoa
2026-08-31 04:37:24
5
Rabia😘 :
kuna me cku nikisema niongee saut ya mahab naulizwa vp unaumw😂😂😂 na nikitumia namb ngen naulizwa nan mwenzang, nikianz kucheka naambiw kumbe we jinga😭 me cjakuzoea ivyo😂
2026-09-01 14:47:09
8
Failuna Chang'a :
kwa kwel
2026-09-02 12:11:36
1
official lily💐 :
haaaaaaaaaaaah,😂😂
2026-09-01 09:35:40
1
Anna Edward :
kanipigia sm kaniuliza mbona leo umepowa mmmmh jamani 🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 12:24:06
1
mamy nai😍💖 :
mimi mwenzenu naitwa hadija kopa kwa michambo ma kelele😂😂😂😂
2026-09-01 12:37:59
1
Mrs shagy :
me mwenzenu nikitulia naulizwa unaumwa najibu hapan bas ananiangalia anasema cjuh umenuna nn cmuelew kwakeri uyu mwanaume wang😂😂😂😂
2026-09-03 20:03:28
1
Miss___T✨🦋 Katoro :
Mi mpole sipendi kuongea ukiona naongea sana kaa mbali😂😂😂
2026-09-01 15:52:51
1
lolamonie :
Kuna uyu wangu sasa nikikaa kimya utackia unawaza nn mke wangu namwambia no nipo Sawa anaanza kunitania sicheki, saaa mbona hivyo bac me bora niondoke2 kama mwanamke nae mwamini ndo hivi Ndo nn sasa 😂
2026-08-31 19:08:11
5
cleriah 😊 :
Kuna siku nliamua tu kukaa kimy nashngaa ma mkwe ananipigia simu et nimsamehe mumewang ndo ndoa ilivyo😂😂
2026-09-01 09:40:40
5
rey :
huyu wangu nikikaa kimya anauliza vip unashida ganii😂😂😂
2026-09-02 18:33:30
1
ms G🇨🇳 :
Hapa enyewe nime anza mdomo yaan bx tu siwez kunyamaza mm
2026-09-01 10:14:12
2
lizzy💕 :
ndo nimetoka kuulizwa hapa shida ni nini mama kumbe ...
2026-09-01 15:49:37
1
Ammy❤️ :
😄😄😄mbaka nakosa lakuandika nikiwaga mpole
2026-08-31 20:02:48
1
lovecandle💞🫦 :
wa kwangu huyo
2026-09-02 13:59:51
1
careen💦🌹 :
nikwel kwabisa wala uja kosea
2026-09-01 10:45:25
1
Wamoja Mkali :
😂😂tupoo
2026-08-31 17:43:22
1
Rynahellen :
Makofi kwang plz maan nikifungulia 😂😂😂😂😂
2026-09-01 19:23:38
2
To see more videos from user @isher.wa.mideycor, please go to the Tikwm
homepage.