@tanzania_cruise2: #onthisday

Tanzania_Cruise
Tanzania_Cruise
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 18:07:52 GMT
179570
10893
646
338

Music

Download

Comments

itsslim96
🦋It’s 🍀slim🦋 :
Unaweza ukahisi ni memes lkn ni ukweli kabisa me niliibiwa sm mwezi wa 3 nilikua club nilikua nimelewa bwiiii wenzangu ndo wanahangaika kuitafuta wanapiga nakupiga mm ndo nawatuliza nawaambia acheni bwana ntanunua mpya wamepiga mpaka sm ikazimwa me nikaona fresh tu imefika kesho yake mchana naingiza mkono chini ya mto nitoe sm hakuna bwana nililia mpaka macho yakawa kama ya mchina nikanunia rfk zangu siku 3 nawalaumu kwanini hawakuipambania tambo langu 😂😂😂
2026-08-31 15:17:01
56
vicky.michael0
Vicky Michael :
nacheza huku nalia wmbo ukiisha ndo nalia kabisa
2026-08-31 09:43:45
21
mamu15679
Mamu :
mm nitakuwa nasakata uno huku naangaria mwenye simu nzuri kuliko yang alafu naipitia 🥰🥰🥰
2026-08-31 12:05:53
36
hidayahidaya858
hidaya hidaya :
ntacheza kwanza afu ndio nianze kulia🤣
2026-09-01 09:50:36
7
hady.love7
deeh🧸♥️ :
huu mziki unaitwaje
2026-09-01 05:39:27
8
halimajumanne45
Halimaty juma :
Ukipigwa unasahau hat kam umeibiwa sim😂😂😂
2026-09-01 09:44:23
1
To see more videos from user @tanzania_cruise2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About