@jambotv_: VIDEO: Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, ASP Christer Kayombo, akitoa semina kwa vijana wa Parokia ya Kizota na Parokia Teule ya Nzuguni katika Kanisa Katoliki la Viwawa, Kizota jijini Dodoma. Amewataka Vijana kuishi katika misingi ya kuzingatia maadili na kujifunza uwajibikaji kama kipimo sahihi kabla ya kuingia kwenye ndoa.
🤣🤣🤣 haki na Cheka ila sijui nacheka nn any way umeongeoa point sister
2026-09-06 12:38:15
0
sarahlukas4 :
i love you mamaa umenena jambo
2026-09-06 14:14:32
0
Haikamesia :
tusio weza kuomba tucoment wp
2026-09-04 08:28:38
159
Edie-cordial :
direct status😂😂😂😂
2026-09-05 19:50:10
0
slm :
very good
2026-09-05 18:05:49
0
officiallizzy701 :
Much love you 😘 🥰🥰
2026-09-06 10:29:56
0
myla :
Nataman niwek status ila naogop kuachika
2026-09-04 18:02:55
24
me reynah :
ASP miaka Mia 💪💪
2026-09-05 15:06:57
1
normathero :
natamani niiweke stutas 😂
2026-09-04 14:36:07
14
Hilda Mpangala :
Mbona comenti za wanaume sizioni😂😂
2026-09-04 17:56:43
7
theresia :
wengine hata kuomba hatujui, araf sis ndo tunaombwa
2026-09-04 19:18:41
14
Sarah_ :
moja kwa moja status
2026-09-04 10:44:08
6
Sarah ❤️❤️ :
Mnaiona point hiyo ameongea ukweli mwanaume habadiliki kama akikupenda lazima ajitowe kukusaidia kukupa kila kitu nahata kama hana atapambana lakini kama hakupendi atakuwa analalamika tu mala mnaomba sana wanawake
2026-09-05 10:24:13
7
user74837059696285 :
Da. Afande Nishushe😂
2026-09-05 14:38:52
0
🦋Madame ~T🦋🌺 :
Na kama unaona anafanya KAZI nzurii tu ana hela na hakupi na hakuhudumii kwa chochote , na siwezi kuomba imekaaje hii
2026-09-05 12:58:11
1
neemangelula :
ajengewe sanamu ya heshima huyu🥰🥰🥰🥰
2026-09-02 11:22:38
8
mgayobeauty👩❤️👩❤💕 :
😂😂😂Ngoja nilifanyie kazi maana hii ni changamoto yangu napitia
2026-09-04 13:53:23
3
bint Charles🥰 :
love you more sister kayombo najua maneno Yako Huwa hayaachi mtu salama
2026-09-04 10:29:57
5
official nunu💊❤️ :
fact✅✅
2026-09-04 19:30:47
3
Joseph teka :
wawooo
2026-09-04 12:12:55
3
Wk8974 :
jmn mm nimeshindwa kuvumilia nimemtumia moja Kwa moja jmn..
2026-09-05 08:29:09
4
mum :
Maombi ya Afandee ni 🔥✍️
2026-09-05 14:46:52
1
lizzyvbyz :
nikiweka status naachika saiv
2026-09-06 14:38:36
3
official Lucy misheri :
Asante wakunyumba
2026-09-04 19:03:56
2
To see more videos from user @jambotv_, please go to the Tikwm
homepage.