@uhuruonline: SUMALEE AIKATAA BONGO FLEVA, AMTAKA MADEE AOE Licha ya Babu Tale kufunga safari hadi katika makazi yake kwa Lengo la Kumshawishi awe miongoni mwa wasanii watakao shiriki Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva huko jijini Arusha….. SUMALEEE AMECHOMOA…. Amekataa Ofa hiyo na badala yake amewaalika wafike kwenye makazi yake wapate #DHIKRI… na kumtumia salamu Madee ya kuoa. #burudani #sports
uhuruonlinetz_
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 18:33:53 GMT
Music
Download
Comments
choloboybriz :
na mzee yussuf alipaswa nayeye awe na msimamo kama huu mashallah suma lee kweli amerudi kwa Mungu wake na Allah amzidishie imani inshallah🙏
2026-08-30 22:05:06
34
Kapayer :
Mashallwa
2026-08-30 22:43:16
0
mwanakapera1 :
takibirrrrrrrrrrrrr
2026-08-30 20:59:17
11
sharaman_boy :
MashaAllha
2026-08-31 00:22:18
0
Mafly :
maashallah Maashallah tabarkllah
2026-08-31 03:48:33
3
LUCKY GUY :
mashallwah 🫂
2026-08-30 20:29:32
1
kinjunga_dr :
mashaallah brother mungu azid kukueka
2026-08-30 20:50:57
7
NIZO MTATA :
Munguuu akujaliye Shekh Suma
2026-08-30 21:59:29
3
rajah khan :
marshallah
2026-08-30 20:33:15
0
natasha :
jamani Suma long time,koja hapa
2026-08-30 20:42:43
2
user9822931092708 :
allah akbar
2026-08-30 21:10:25
4
Anipher🦋 :
Iv babu tale anakunywa pombe??
2026-08-30 21:26:10
1
leylatotty :
maashalalh mashalalh ba mkwe♥️♥️
2026-08-30 19:23:20
9
ummybaby02 :
Mashaallah
2026-08-31 02:29:55
1
young benzema :
Mashallh sumalee
2026-08-30 22:55:33
2
ZAKIA SAEED :
Mashallah ❤️Taqbir
2026-08-31 04:25:50
0
Mamou :
maashallah
2026-08-30 21:04:33
1
JEFF MASTER1 :
mimi role model wangu MADEE kuoa sio lazima bwana 😁😁
2026-08-30 22:55:41
1
CAKES EMPIRE KAHAMA 👑 :
MashaAllah, hebu wacheni kwenda kumshawishi mambo ya kidunia Sheikh wetu😁
2026-08-30 22:21:07
3
BACKBENCHER :
sasa mwanzoni alilazimishwa kuwa mwanamziki ?
2026-08-31 01:58:30
0
Rukia Fahim :
mashallah
2026-08-31 03:57:11
0
Nurath Kiuler kdt🌺 :
takbirrrr
2026-08-31 01:59:30
0
Mazzy Kassim :
MashaAllah MashaAllah,
2026-08-31 04:00:11
0
Mjassi :
msanii wng pendwa park line
2026-08-31 02:15:05
0
Yussuf mrus :
mashallah
2026-08-31 02:58:00
0
To see more videos from user @uhuruonline, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.