@badawiy.media: IKIWA MTU HUTAKI MAULID HULAZIMISHWI , LAKINI KUPOTOSHA UMMAH KWA URONGO HAITAKIWI , KILA WATU WANA WANACHUONI AMBAO WAMEPOKEA UFAHAMU ZAIDI ✊ #millionviews #fyp #tiktok #foryoupage #trending

Badawiy Media
Badawiy Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 18:35:00 GMT
1682
141
14
7

Music

Download

Comments

abduly.hamidy
Abduly Hamidy :
Assalamu Alaykum nitakipata wp hich kipind mana Mash Allah Allah Akulinde kwa kila hali
2026-09-02 04:08:59
1
abdulhalimmrjn
@Abdulhaleem@Marjany@ :
swadaqta ya sheykh
2026-08-30 20:56:34
1
msuyale
mathewmsuyale :
Haya mambo ya khilaf hasa katika Maulid kumechangia sana kurudisha nyuma wale wenye nia ya kuingia katika dini ya kiislaam. Siku za nyuma Maulid yalisaidia sana kuwafanya wasiokuwa Waislaam kujiunga na dini ya haqi. Sasa hivi dini imejazwa chuki miongoni mwa Waislaam wenyewe kwa wenyewe kupingana. Tunahitaji umoja sana kama Waislaam.
2026-08-31 10:56:58
1
salim_salim313
Salim :
Makhurafi ni Ovyoo Sanaa , Hususan Wewe Badawy Ujinga Ulio nao Unamzidi Mwalimu wako Sirajuun munira 😂😂😂
2026-08-31 19:34:07
1
hudaydah3672458539648
kilabi :
mashallah mashallah mungu akuhifadhi
2026-08-31 16:45:58
0
mohamedbakshi4
MOHAMED BAKSHI :
swadaqta alhamdulilah
2026-09-01 11:46:38
0
sadathsalymsalim
sadath salym :
part 1 mpaka 13 bila dalili ya mashiko
2026-09-01 16:27:38
0
user3759613752313
Raj :
Maulidi hakuna kwenye uislamu kabisaa
2026-09-01 17:21:23
0
ausatmwangi
Ausat mwangi :
❤️❤️❤️
2026-08-30 19:05:42
1
ramadhani.w.mkalagale
Timer Media :
🥰🥰🥰
2026-08-31 06:28:00
1
To see more videos from user @badawiy.media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About