@achievefinancetz: Aina 3 za Bank Account lazima uwe nazo mwaka huu ukitaka kutoboa! Tenganisha hela yako leo. . . . . . #achievefinancetz #fyp #foryou #viral #trending

Achieve Finance 🇹🇿 👇👇
Achieve Finance 🇹🇿 👇👇
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 03:00:00 GMT
12020
465
26
60

Music

Download

Comments

olly_foodproduct
Olly_foodproduct. :
somo zur sana, ila hizo account unakuwanazo in different bank like nmb, crdb, and nbc or ni account moja like nmb but inakuwa inasaving, income and others
2026-09-12 09:50:06
4
frankietz27
Frankie :
This useful indeed...I have two among those you mentioned..
2026-09-12 22:19:39
0
esterluvanda5
Ester Luvanda :
nikitaka saving nifungue bank gani
2026-09-12 05:30:39
3
damiansabasi
Damiani Sabasi Lashayo :
🥰🥰🥰somo zuri sana Teacher
2026-09-12 17:18:13
2
zuuhill3
zuuhill3 :
inabidi nikitafute unielekeze vizuri
2026-09-12 18:01:03
1
nyangwiza0
mj@double2 :
Kwa hiyo dada vipande hisa na bond ni vitu 3 tofauti? aloo Mm Naona nimeshachelewa ngoja mwanangu amalize shule nimlete kwako,mm kuelewa ishakua shida
2026-09-12 04:29:42
3
truda94
truda🥀 :
sijaelewa hapo kwenye spending account, kunautofauti ukitumia ile inayoingiza hela?
2026-09-12 03:26:54
4
user24024190945116
user24024190945116 :
Safiiiiiiiiiiii sana
2026-09-12 18:31:57
1
swahili_sister
lika_closet :
Kwa mshahara upi wa kugawa gawa izo account 😂😂😂
2026-09-12 22:17:10
0
kenanmligo
Kenan :
Kuwa na Acc zote i ila fanya namna yoyote ile huwe na Acc ya Benk ya nje ya nchi..unishukuru baadae
2026-09-12 19:11:41
1
onesmoginwe
Onesmo Ginwe :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-12 04:34:13
2
To see more videos from user @achievefinancetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About