@teresiakibona: Mwanamke, ndoa si mashindano, wala si sehemu ya kukimbilia kwa sababu unaona wenzako wameolewa. Ndoa ni maisha yanayohitaji hekima, uvumilivu, mawasiliano, maombi na kujifunza kila siku. Kuna wanawake wanaingia kwenye ndoa kwa haraka kwa sababu ya presha ya familia, umri, marafiki, fedha au hofu ya kubaki peke yao. Lakini baada ya kuingia, ndipo wanagundua kwamba ndoa haijengwi kwa harusi nzuri pekee; inajengwa baada ya harusi.

Huduma ya Matumain Mapya
Huduma ya Matumain Mapya
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 18:50:53 GMT
185225
20615
1427
1198

Music

Download

Comments

aminaskello3
Mrs/PETER LADIES POINT :
Tunaongalia Leo tar 1/9/2026 tujuane hapa,,, Ahsante sana mama🥰🙏
2026-09-01 12:28:17
213
graceous0636
graceous063 :
ahsnt mam nashkr san
2026-09-01 20:44:54
0
bestinerblessy
vivacious de Zacky 💘 :
jaman mwenye group la mabinti Ani add🥰🥰
2026-08-31 11:41:08
53
user5465009783933
lumimo💖💖 :
asantee mama anguu
2026-09-01 19:40:41
0
ms_appie
Ms Appie :
Asante mama ujumbe huu umenifikia wakati sahihi kabisaa🥰.
2026-08-31 12:35:10
145
user9758315736179
Christa :
Asante
2026-08-31 23:11:06
0
khadijabenjamin3
dojah African girl :
thanks 😊 🫂 🙏
2026-09-01 04:20:30
1
angelzebedayo781
Angel Zebedayo :
Ahsante Mama kwa somo zuri hakika umetufundixha yaliyo mema MUNGU akubariki 🙏🏽
2026-08-31 06:06:57
77
happycreator370
happycreator370 :
Ujumbe umekuja kwa wakati sahihi Mungu azidi kukuweka kwa ajili yetu Mama🥰
2026-08-31 11:40:47
61
elizabethjohn7542
elizabethjohn7542 :
Tunahitaji wamama Kama hawa kwa ajili ya kutupa elimu zuri mnoo ubarikiwe mnooo🙏
2026-08-31 07:20:36
49
tremmkatasa
it's Me.. :
ahsant mama
2026-09-01 19:07:42
0
_mwengereza1
_mwengereza1 :
amen napokea
2026-08-31 06:43:43
28
254wamum
Mrs Issah :
Ashanti sana mama 🤲🤲🤲🤲🤲💞😘
2026-08-31 05:41:30
17
user7770849757275
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
saaante sana kwaushaur wako mama angu Mungu akulinde
2026-08-31 03:00:14
67
helenamapunda445
Helena Mapunda :
asnte mama
2026-08-31 04:46:58
6
tsumai33
TSUMAI :
asante.
2026-09-01 18:58:47
0
user93686866113961
mahusiano ya uhakika :
namshukuru MUNGU ndoa imenifunza maisha jmn duh ndoa ni VITA mm nilikuwa nikiona mtu anasema naona poa jmn huku nivita mazury yapo mengi na mabaya yakushangaza yapo oya so poa jmn ila katika YOTE namshukuru MUNGu nimeibuka mshindi 🙂‍↔️🙂‍↔️🙂‍↕️😌 ukija huku uje na akil timam nilikuwa nautoto ila nimekua ghafla siamin kama nimeyavuka vita kubwa achen MUNGU aitwe MUNGU
2026-08-31 16:13:13
6
fine.girl853
pee🌸🇹🇿 :
Asante mama
2026-08-31 03:49:58
5
user7801715943700
sky E :
Asante mama angu mzuri japo sisi wengine hatujui ni lin MUNGU atajibu lakin naamin ipo siku atatenda najifunza mengi kwa sasa Ili kesho yangu iwe kesho yenye msingi imara nakuelewa vizur mama ang ubarikiwe nawe pia 🙏🙏
2026-08-31 09:06:01
14
a.g.a.t.h.a123
AGATHA♥️ :
Amen Mama Ubarikiwe sana🙏🙏🙏🥰🥰🥰
2026-08-31 06:08:58
10
user5240243033330
jeanne❤️ :
Merci maman 💋
2026-08-31 04:36:26
3
aziza.wa.arony
aziza wa arony :
Amen
2026-08-31 04:22:00
2
anna.wanna59
Anna wanna :
asnt mam
2026-08-31 04:37:37
2
user3672346081255
ANNA DANIELI :
asante mama mwema
2026-08-31 15:41:12
3
user90788686159
noella :
Merci beaucoup maman 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-31 03:52:56
4
To see more videos from user @teresiakibona, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About