Unaposema eneo jirani na shule ....na eneo ndani ya shule barua haiko sawa
2026-08-31 09:13:50
4
kada :
mbona nimesikia eneo jilani na shule au nimesikia vibaya
2026-08-31 04:02:46
4
Catrine :
Ana sauti ya ukali nimeshindwa kumuelewa kwakweli kama ni kwa mujibu wa sheria tueleweshane taratibu
2026-08-31 07:34:54
2
Jeremiah kerenge :
watanzania wananyanyazwa juu magufuli alitangulia mbele ya haki banah
2026-08-31 13:27:36
0
peter laizer :
mmmh ???
2026-08-31 13:28:26
0
godionesm698 :
baba musa😁😁😁
2026-08-31 05:19:51
1
Manjura Ngekee :
mbona sijaerewa
2026-08-31 09:33:59
0
Dt makilichi :
Shule kwani aitaki nyumba
2026-08-31 08:49:55
0
juliuswambura@gmail :
kumbe siyo ndani ya shule ni jirani na shule
2026-08-31 11:13:36
0
barakaeli laitayo :
hiyo ya mwisho ulio isoma inasema alio ijenga jirani na shule
2026-08-31 06:54:37
0
Aayan Ayo :
Hivi kuna uwezekano wa kupeleka viongozi wetu chuo wakajifunze uongozi na kuwasaidia kupunguza show off na kujikita kwenye kutatua migogoro kwa lufusta weledi?
2026-08-31 08:34:00
0
Manjura Ngekee :
mbona kiongozi unakuwa mkali
2026-08-31 09:36:15
0
Dr frank yohana :
duh
2026-08-30 21:44:30
1
user3266890627269 :
shule inunue tu hiyo nyumba iwe ya walimu kiubinadam na sio kubomoa
2026-08-31 07:44:51
2
Sikujua Zarumo :
onevu.huo mulikua.wapihadi.mtu.kajenga
2026-08-31 06:48:43
1
voice of authority :
aah Mimi naanzisha vita vya tatu vya Dunia
2026-08-30 21:48:13
0
biwaini noberi :
hayo nimaonevu tukirudi upande wautetezi kifungu namba inaereza kwauzibitisho msomaji wahatihiyo kwaza umekuta makazi yawatu
2026-08-31 04:06:42
1
ابؤ سليم🔱💲 :
NYUMBA SIBOMOI NAWAKABIDHI NYINYI FANYIENI MATUMIZI YENU NA WALA SITO KUJA KUWASUMBUA😭😭🙌🙌
2026-08-31 07:57:16
0
benyson :
swali ni eneo jirani na shule au eneo lipo ndani ya shulee.?pili hati hazitoki kwa wakti afu nyie mkija mnadai hati kuna shida maharii
2026-08-31 08:52:20
0
BraveChina15. :
Mimi nimempa makofi Kwa baba mussa😆😆😆
2026-08-31 05:48:30
0
Tajiri ngoiva :
unatakaje niboee au
2026-08-31 06:21:20
0
Baba kay!!! :
huyo hio nyumba akae mkuu wa shulee sasa 😅😅😅😅😅
2026-08-31 06:50:23
0
jackmol n'Gun'cat :
mimi nikipewa huyu hapigi hata round
2026-08-31 07:44:30
0
Peter Raphael :
Wewe kuweza kubomoa
2026-08-30 21:13:11
0
To see more videos from user @boss_above, please go to the Tikwm
homepage.