@sheikhmbarakahmed: Maswahaba kuleta Mambo Mapya Katika Dini, Mtume ﷺ Aliyaunga Baadhi Na Mengine Akayapinga..

sheikhmbarakahmedawes
sheikhmbarakahmedawes
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 30 August 2026 19:35:04 GMT
3537
349
28
11

Music

Download

Comments

joxinaueawd
joxin89615 :
swali je mtume alikuwa anaamua mambo kwa matashi yake nakama kwajili ya mungu basi yeye alikuwa anao uwozo wakupokea wahaiii na je vip masheikh wa ss wanapokea wahaiii
2026-08-30 22:01:23
2
dilah_dihsar
Dilah D. :
vipi kuhusu Quran 5:3, ambapo Allah anasema "Leo nimekukamilishieni dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo dini yenu."
2026-08-30 22:52:06
1
ladullah_1
ladulla1 :
mtume akiwa huo sio uzushi kwa sababu kiongozi yuko ambae anaongozwa na Allah kupitia Malaika,ikiwa kitu si kibaya Allah atakikataza....swala ni jambo lipo,mtu aweza kuswali mara nyingi atakavyo lakini usiseme tuswali swala sita kila siku juu swala ni jambo jema...
2026-08-30 20:36:07
1
tssabdun
Tssabdun :
mashallah,barakallah,jazaakallah
2026-08-31 06:52:36
1
abu.salamah00
♡ANNAT♡ :
je walizua ndani ya dining
2026-08-31 11:00:29
0
cadillacofficial
Mission Complete 🇰🇪🇦🇪 :
kukaa na udhu kila mara .. kutawadha na kuswali rakaa mbili sio bid'aa sheikh.
2026-08-31 10:50:15
0
ahmed.muhammad498
Ahmed Muhammad :
masha allah shukran ustadh jazaka allah kheyr.
2026-08-30 19:43:56
0
mrambwani
MRAMBWANI :
naam uko sahih
2026-08-31 07:24:19
0
rashidabdallah469
rashidabdallah469 :
mtume hayupo now
2026-08-31 06:21:25
0
mduchu11
T.S :
Hayaa shekhee hatubishi sasa maulid imezaa mziki motoo msisahau jukumu ni lenu mnao tetea
2026-08-31 05:46:13
0
diga.lise
Diga Lise :
halafu uzushi ulokusudiwa ni baada mtume wetu kutukamilshia dini yetu
2026-08-31 05:47:55
0
user347219484
Abdul Karim :
bwana wee kutia udhu na kuswali suna. huo si uzushi. bidaah ni kuvumbua kitu ktk dini ambacho mwanzo hakikuemo. sawa? mfano mm nikijiekea mfumo kila asubui lazma nisome juzuu mbili. hii haipo kwenye bidaa.
2026-08-31 06:14:01
0
player1_666
VIBING WITH GAUCHO :
2026-08-30 20:14:45
0
meddy.bambo
meddy bambo :
Ule ulisha kuwa mpango wa MUNGU ndomana kabla mtume(s.w) hajafa akasema Nimewatimizien din yenu, hivi akatokea mtu saaa hivi akazusha inafaaa? nadin ilisha kamilishwa
2026-08-31 04:45:44
0
islamaliali995
Islam Ali Ali :
ماشاء الله تبارك الله... أطال الله عمرك يا شيخ
2026-08-30 20:59:50
0
user8083361918380
[email protected] :
mashaallha vizuri kuskia hivyo 👍
2026-08-30 19:44:35
0
diga.lise
Diga Lise :
sasa kama mwalijua hilo hakuna zaidi wanao jua dini mbona wali ache hili jambo zuri lamaulidi
2026-08-31 05:49:30
0
diga.lise
Diga Lise :
shekh hito sikiasi takuhalalisha munao yafanya kwa maulidi yote yalofanyika mbele ya bwana mtume na haku yakataza ina kubalika nahilo lakumsifu alilisema mbele yao akawambia musini sifu sana kupita kiasi kama mana swara twambie huu uzushi wa karne yasaba aliwahi kusema
2026-08-31 05:45:29
0
_.m55555
_.m55555 :
Sunnah na Quran munashindwa kufanya munataka ziada na kuzusha mambo mapya kila siku 🤦🏽‍♂️
2026-08-31 03:46:47
0
aswad_255
mohamed :
hiyo hiyo hoja ya kwanza maswahaba walizusha hayakupigwa, je walizusha na haya ya sasa au haya kayazusha nani? na hiyo mizani ya kupima unatoka kwa nani kama wao hawakuwahi kuyafanya?
2026-08-31 08:26:11
0
asiaali3863
Ali mangaa makame :
wacha kuhalalisha uzushi dini imekamilika
2026-08-31 04:43:07
0
user85460558114204
بب مو :
Awesu mche allah utaulizwa yote hayo unayowapotosha wasiojua
2026-08-31 08:10:55
0
kazidawamama
أَبُو سَلْمَان زِيْدَان :
wajua kuwa Kuna Sunnatul taqriiriyah?, ama huijui ndugu
2026-08-31 07:43:46
0
ablljm
Ablljm+ :
🫡🫡🫡💯
2026-08-30 20:42:36
0
To see more videos from user @sheikhmbarakahmed, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About