@tambo____: vijana wanaogopa ST,D tu hawa 😅😅🙏. #tiktoktanzania🇹🇿 #creatorsearchinsights #tiktokkenya #dukuduku #tiktokkenya🇰🇪

Tambo
Tambo
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 20:08:55 GMT
61392
6248
179
494

Music

Download

Comments

shenaksam3
shenaksam...!! :
who am i?
2026-09-07 22:18:52
0
eugenjames673
☆☆young pappy☆☆♡♧♤ :
mwengine. eeehehwhe ila nyinyi
2026-08-30 21:37:39
52
realcop_official
doɔlɐǝᴚ🇹🇿✊ :
hamtaki show kama hii kweny Arena 🤣😂🙌🏿
2026-08-31 05:34:07
52
zayrahfashiondesigner
Zayrah❤ :
JAMANI hii nchi hatujawah kupumzik tangu October 29🤣🤣🤣mara Wema kajifungua, punde si punde Zuchu na baby shower hatujakaa Sawa miaka30 ya Bongo flavour na tunaanza kukaa Sawa Dotto Magari kaathirika,Dotto analet vipimo kutoka Zanzibar, mara Kuna mtu katoka kigoma na baiskeri mpaka kawe kwa mwamposa, mara police wamechukua simu ya pipytida mara Nchimbi anatupanga tudai katiba kabla hatujakubali Wema kawa single mother tunaanza kutaharuki Baba Nchimbi kajiuzulu haya tunaamka asubuhi kumbe CCM walimfukuza huyu Mzee sasa ndio nataka kutulia nakuta mwamposa kaangusha mchawi huko Arusha alikua anatoka bariad kwenda mbeya daaa hii kasheshe nayo sijakaa vzur kuna free juma jux🤣🤣🤣 cjakunywa ata chai mauwa sama ni mjamzito😂
2026-08-31 04:11:45
27
irene.nassoro5
Irene Nassoro :
ila hiyo katuni mkao wake sas🥰😂
2026-08-31 09:50:08
17
lilkiddy_25
lilkiddy_25 :
ila pippy 😆😅
2026-09-02 12:41:39
1
polojuniour
Aidan(Juniour) :
Shida anasemaga yoyote sasa watu wafanyaje.......😅😅😅😅😅
2026-08-31 04:56:19
9
schorterback
code8 :
ila bongo😂😂😂😂
2026-08-30 21:49:51
4
shani.de.cute
shani de cute💯💯💗💗 :
nmecheka kwa saut jmn 😁😂😂😂😂
2026-08-31 09:30:46
2
rajabhalima755
kuruthumu omary :
🤣🤣🤣🤣daah🤣🤣🤣
2026-08-31 06:59:18
1
amazingfootball598
benny blanco :
edit nimeielewa
2026-08-30 21:54:59
6
denismosha94
𝓓𝓮𝓷𝓲𝓼 :
Vijana jauu sanaa🤣
2026-08-31 06:52:14
1
user3999211784256
rahel cute💞 :
h😅😅😅
2026-08-30 21:59:10
1
miracle25700
miracle :
Jamani ni kweli sijuwi acha niulize Mama gwajima ni nani. me nasikia watu wanamuogopa lakini sijuwi ni nani naomba mnambie
2026-08-31 15:44:31
0
domy_5683
Gemin :
sijui kwann ila nmecheka xanaaaa😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-30 22:49:38
3
To see more videos from user @tambo____, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About