uyu musalam nampenda sana uyu atafanya nikuwe muslam
2026-08-31 15:47:23
7
SharuQajin :
mimi sijakutana na injili ya yesu jamani nimesoma hadi injiri ya yudah na barnaba lakini ya yesu sijaiona
2026-08-31 12:38:56
4
shalom staford :
wafilipi 2…5…10 MUNGU ALIFANYIKA MWILI AKAUVUA UTUKUFU WAKE AKAJA KWETU
2026-08-31 06:12:43
2
kaka mkubwa :
Yesu ni Neno la Mungu, Kwaiyo Hilo neno la Mungu ndo limefanya yote,
2026-09-01 09:46:41
1
mr nobody :
tulioelewa km mimi naomba tujuane mapema sanaa na km aujaelewa bs pita kama aujaona kitu🥰🥰
2026-08-31 07:58:24
2
PANTA :
neno afanyika na si kafanywa jua afanyika
2026-09-01 03:43:29
0
Amani Shija :
mbona hajasema huyo neno alyekuwa Mungu, kisha akafanyika mwili na watu wakauona utukufu wake kama utukufu wa MWANA wa Mungu ni nani??
sema huyo neno aliyefanyika mwili ni NANI??
shida ni kwamba mnamfananisha yesu na Issa
2026-09-01 17:19:03
1
Fety :
Neno Maana yake Mungu alisema kunfa ya kun yani alitamka iwe na ikawa na mimba ikatungwa mtoto akazaliwa akapewa utukufu kama Nabii na Mtume me sijasoma sana thiolojia lakin mbona hiyo Aya iko waz Bila hata kutafsiriwa na sheikh ama padri
2026-08-31 14:20:54
2
Deno Peter830 :
utukufu wa Neno unafanana na utokao kwa BABA amina
2026-08-30 21:54:43
1
derriy_derriy :
minahisi binadamu tunasahau kwamba MUNGU nguvu zake hazina mipaka hapo tu😳😳😳
2026-09-02 11:04:46
1
jiponye mwenyewe :
naye neno alikuwa yesu ambaye alimnenea Mungu akisema mimi ndimi
2026-09-01 04:45:48
0
Kalinjuma Elias :
Mnaamini torat injili na zaburi lkn wakiwasomea maadiko yake mnayakataa wakati maandiko mnayoyataka hamnayo ?
2026-08-31 18:01:53
0
Mwalimu :
Yesu hajafanywa ila kafanyika, hiyo ina maanisha kafanyika mwenyewe.
2026-08-31 15:04:41
0
kenkenmaoka :
kama io Dio elimu nimeacha kusikiliza wazee.andiko limesema alikuwepo tangu mwanzo na vyote vikafanyika kwake.alipofanyika mwili hakuumbwa bali alijigeuza na kuvaa mwili akaacha utukifu wake kama mungu na hapo ndipo philipians2:5,6
2026-09-05 21:27:47
0
scofarxezho :
natamani Sana kuwa fundisha haw jamaa
2026-09-01 05:30:21
0
mtumbe mechanics :
hatari xn
2026-08-31 18:43:24
1
renatusraphael0 :
sheikh naomba tukutane na nakuomba nipigie au nipe namba zako. tuongee vizuri na wewe , mtangazaji nitafute tuongee vyote mnatafuta ukweli wa mungu hakuna amjuaye .......
2026-09-02 11:54:31
0
Mwalimu :
🤣 Pole sana ndugu zangu Waislamu. Nenda kahiji Macca kwanza Sheikh!!!
2026-08-31 15:01:18
0
yasini :
hiyo mambo ya mwanzo palikuwa na neno huo ni utoto kabisa mungu huwezi mfqnanisha na binadamu
2026-08-31 09:09:57
1
Dr saleh stambuli Mohamed :
Masha'allah barkallah ya cheikh
2026-08-31 19:36:16
1
Mathna Mohamed :
subhannallah ametakasika mola mlezi wa arshi tukufu yeye hahitaji msaada
2026-08-31 11:26:50
2
MushiTz :
hamna kitu hapo.
hakuna mwalimu hapo
2026-08-30 21:17:39
1
kawatuti Rachel,abiaele :
mwanapehe ni yesu
2026-09-04 15:32:53
0
janabi jakowalo :
Ufunuo 8.26
2026-09-05 19:12:58
0
To see more videos from user @kinagaubaga2, please go to the Tikwm
homepage.