@mtoto_wa_maria: Usihesabu mema yote uliyonayo, yametokana na nguvu zako au akili yako pekeee, kuna mengine yametoka kwa Mungu. Hivyo kumbuka, kwenye maisha kila hatua ina mtihani wake. Hata kama unapitia magumu kiasi gani, daima mshukuru Mungu kwa kila jambo, maana ulipo ndipo penye baraka zako. #furahatemba #catholicprayer #tanzaniatrending #kenyaviral #fypvideo