Eeeh mwenyenz mung nilinde na kila bay lolote kweny maisha yang
2026-08-31 06:51:49
9
faith 🥰 :
mungu nilindie na Kila baya
2026-09-08 13:06:21
3
Fredy Joseph :
Eeeh Mungu ninaomba unilinde na kuniongoza fungua milango za baraka
2026-08-31 03:45:16
4
griven mukami :
God protect me tonight
2026-09-08 18:34:19
2
Abeli Gidion :
asante mungu kwa asubuhi ya leo[Pray][Pray][Pray]
2026-09-16 03:50:34
0
Racheal glad🥰😍 :
mungu nilinde kwa kila mbaya mwezi uu wa nane🤲🤲🙏
2026-08-31 19:50:07
1
cate💖 :
mungu nilinde pamoja na familia yangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-03 12:40:14
1
Paul Kavia :
mungu ulinimba ukaniweka dunian naomba na umenilinda hadi leo nomba uniepushee naa kila baya na nawanao kuitaji pia kama mm naomba uwajibu pia Asante
2026-08-31 19:04:56
2
esau💍 mom💍 :
mung nilind nawatu wabay wanao niombea mabay yawaludie wenyew
2026-09-02 20:28:52
1
cuteshaly :
mungu tulinde na mabaya yote
2026-09-03 13:26:57
1
Papaa mopao :
ee mwenyezi Mungu ninaomba ulinzi wako siku zote za maisha yangu 🙏🙏🙏
2026-08-31 08:25:36
1
Vaileth Barton :
mungu ninaomba utulinde na kila baya kwenye familia yetu kwenye mwezi huuu wa tisa
2026-08-31 19:59:57
1
Monica :
Mungu wangu naomba uzidi kunilinda na kla baya amen 🙏 🙌
2026-08-31 19:46:12
1
Farhiya rahma :
eeeeh mwenyezi mungu ninasema ni asanteh kwa kuwa pamoja na me mpka kufikia September ni kwq neema zako nasema ni asanteh nakataa kila mabaya juu yang na kataa laan, mikosi roho za mauti zikapata kushindwa kwa jina lako nilindie familia yangu nilindie mama yangu tusamehe pale tunapo kukosea amina🙏
2026-09-01 17:10:26
3
Michael Gabriel :
Asante mungu unilinde kila hatua zangu za apa na pale bila wewe mimi si kitu uniongoze kuingia mwezi wa tisa
2026-08-30 21:21:53
2
Mary Deus :
asnte mungu kwa zawadi ya uzima
2026-08-31 07:29:22
0
Rehema♥️♥️ :
ee mungu mwenyezi ninaomba unilinde na kuniongoza Kwa kila hata nitakayo ipiga siku ya Leo na utajalie neema ya afya njema mwenzio huu ukawe ni September to remember 🤲🤲🤲
2026-08-31 05:53:21
1
it’s seyran❤️🥰 :
Eeeh MUNGU nilinde na famimi yangu kila baya lisitupate ukatubaliki tuingiapo na tuto kapo ukatupe haja ya mioyo yetu🙏🙏🙏🙏
2026-09-03 08:23:20
1
Alvoh dantez :
Mungu nlinde aky
2026-09-16 14:21:35
0
GEORGES :
mungu nilinde[Pray][Pray][Pray]
2026-09-16 07:40:54
0
faith -18 :
Mungu nilinde na Kila baya tunapoingia mwezi wa September