tuko pamoja kaka ang kwa kuonboleza kifo cha rafk yetu mung amulaze pema pepon😭😭😭😭😭
2026-09-02 16:59:08
0
love ♥️♥️♥️♥️🫶 :
kweli
2026-08-30 21:29:09
0
REGINA💖💖 :
bac tutazoea
2026-09-01 18:57:27
0
helena daniel :
Pole kipenz,Mungu akupe nguv usikae kinyonge kama ck ya jmosi maana ulionekana kukata tamaa, jipe iman Mungu atakuwa pamoja nanyie kipindi hiki kigumu, mwl Buruba tumuombee apumzike kwa Aman.
2026-09-01 12:26:31
0
Elizabeth rusobya :
apumzike kwa amani arikuwa mwarimu mzurisana
2026-09-01 18:21:01
0
lutagwa kamena :
ila nyie maisha nimagumu unakutana na majonz kam hay mbona nakosa matumain sasa
2026-09-01 12:47:39
0
John Deus :
kaka hakika tutakukumbuka mungu akulinde huko uendako
2026-09-01 06:07:48
0
@jescasamwl0 :
maumivu ni makali sana buluba lakn pumzika kwa amani
2026-09-01 15:05:42
0
brash :
😭😭😭😭daah!!!
2026-09-01 15:33:31
0
johnson kanoute :
r i p
2026-09-01 05:14:58
0
Ashura :
apo ndo nachanganyikiwa kumpoteza kaka angu duuh sielewi kabisa mungu amlaze mahari pema
2026-08-31 20:00:27
0
Joel jilya⚡😛 :
2026-08-31 20:45:14
0
love mollel :
nazidi kuchoka kwa kweli
2026-09-03 12:51:21
0
toto kajolo :
daaaah yani sii amin kabsa
2026-09-03 10:34:19
0
Ezekiel Elias :
daaaaah
2026-08-31 21:38:47
0
aggy :
jaman kpenz chawa2 ameondoka daaah polen sana
2026-08-31 21:25:15
0
Rhodadaniel :
😭😭😭😭😭😭
2026-08-31 13:27:55
0
To see more videos from user @user663446345, please go to the Tikwm
homepage.