@Toxic 🇹🇿: HII NI MISTARI AMBAYO IMETUNGWA KWA COMMENTS ZA RAIA NIKIWA LIVE TIKTOK NA HII NI VERSE YA PLI KESHO TUTAENDELEA NAIDEA NYENGINE MPYA, NITAKUWA LIVE KUANZIA SAA TATU USIKU NJOO NA IDEA YAKO🙏
2026-08-30 21:35:29
12
🦋🦋Sweet🥰rene🦋🦋 :
🔥🔥first comment,,,mwenye nyumba🤣😂Toxic👌
2026-08-30 21:40:52
2
DANCE COMEDY 📵 :
oooya nimoto
2026-08-30 21:51:20
1
Dizoh Store45 :
Hiiii nomaa mnooo🔥🔥💣
2026-08-30 22:00:29
2
Mr nonchalant :
bro Leo wa kwanz reply kak
2026-08-30 21:35:38
4
reica🏀🏀 :
Niowe
2026-08-30 21:37:47
2
manoma :
mwanangu wenyewe nakubali miaka mia
2026-08-30 21:45:11
3
🎀𝑫𝑰𝑴𝑷𝑶𝒁𝒁𝒀💦 :
𝒏𝒂𝒌𝒖𝒃𝒂𝒍𝒆 𝒎𝒌𝒂𝒍
2026-08-30 21:36:12
2
Vino voice :
me shabiki ako namba 1 toxic
2026-08-30 21:38:55
1
vordax abattoir mpemba gang :
comment ni hiphap
2026-08-30 22:11:35
1
beleko jr :
Fire
2026-08-30 21:37:46
3
Aseram_10 :
Unatishaaa kaka
2026-08-30 21:36:34
2
chef Tsembea :
mnyama wa hip hop ni wewe broo
2026-08-30 22:22:22
1
winga boy :
kalibu tunduma uku adi mashee na wachungaji ni shabiki zako ko nyimbo adi kanisani ngoma zako zinapigwa
2026-08-30 22:06:43
1
Jay voice@official89 :
Kaka we ni 🔥🔥🔥🔥
2026-08-30 21:47:56
2
Liltross99 :
mm nimepata chorus bro
2026-08-31 01:29:46
0
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.
2026-08-30 22:30:33
1
Baddy :
[Sticker] 🔥🔥🔥
2026-08-30 23:12:35
0
MOON NG...🌙 :
hatar mwili mdogo sound ya bufa mtoto wa temeke kweny ukali wake one love my brother
2026-08-30 23:07:20
0
urbanizetz :
noooooma 🔥🙌
2026-08-30 23:06:06
0
ÖUNOUH_88 :
sahihi kaka
2026-08-30 21:40:25
2
To see more videos from user @toxic_fuvu, please go to the Tikwm
homepage.