@iycsigntv: Sikilizeni ujumbe kutoka kwa #niffer Muusika: niffer 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more

iycsigntv
iycsigntv
Open In TikTok:
Region: US
Sunday 30 August 2026 21:34:48 GMT
390368
20581
441
513

Music

Download

Comments

japhetmagoha8
Jpht :
Video ya Harmonize ninayo
2026-10-06 19:06:01
1
officialmina53
officialmina53 :
Niffer leo umenigusa
2026-10-20 06:56:44
0
evelinekavira43
Blavine d'or :
Harmonize kafikafikaje hapo?
2026-08-30 23:54:59
79
frolachristoms
frola mwaipungu :
Kitu cha ajabu ambacho hukijui swala la kumsaidia mtu si swala la mtu binafsi ni mpango wa Mungu tunaishi kwa kusaidiana hakuna mtu anayefikia malengo yake bila kutegemea mwingine hata adui yako anaweza kukufikisha wewe kwenye goals zako bila yeye kujua pia acheni kushauri watu kwa kuweka picha za wengine ktk maisha kupanda na kushuka ni vitu vya kawaida hatuwezi kujifunza bila kukosea hivyo mm binafsi sijakuelewa unamaanisha kitu gani labda watoto wenzio wanaweza kukuelewa kutokana na age yao .
2026-08-31 13:56:31
43
quavotz07
quavo🪐 :
Bora ata uyo me leo nimesimamisha dalala niwasalimie abiria nimepigwa makof daaah 😊
2026-08-31 11:51:09
16
joeboitz
𝖏𝖔𝖊𝖇𝖔𝖎 :
mnanikosea sana mnapomweka harmonize kwenye vitu vya ajabu
2026-08-31 10:55:24
20
taiba.ally
TAEVA SHOES 👣👠👡🛍 :
picha ya harmonize apo imefata nn sasa au Me ndo dijaelewa
2026-08-30 23:28:34
58
drdre.7777
Dr.Dre :
dada ana point kubwa mno✍️
2026-09-01 05:43:30
15
abdul.tz19
ABDULLAH TZ✈. :
huyu ni nani tena
2026-09-01 14:20:53
5
mom.nain
MAMA NAYNI🦋 :
mmiliki wa hii midia anampenda sana harmonize ila anashindwa kumwambia😁 anaona amuweke kwenye vi2 visivomuhusu ili kufikisha ujumbe sema2 Hamjashtuka😂
2026-10-08 22:35:13
0
ware1234567899
misharyomar :
ndio sifa za wachamungu wakishatoa huwa hawaitaji malipo wala kushukuriwa ni maneno ya mungu suratul- jumaa ww ukitoa towa kwa ajili ya allah
2026-09-01 05:29:58
8
danymathe4
Dany Mathe :
kuna nini kwa.i?
2026-10-03 20:27:16
0
mylifestillmylife
My Life Still My Life :
Wote ndio tunaishi duniani kwa mara ya kwanza punguzeni ushauri kila mtu ataishi maisha yake kwa nafasi Yale kama vidole hatuwezi kulingana siku zote walikuwepo wanakuwepo na watakuwepo maana sote duniani tunapita
2026-08-31 08:55:53
9
rizickdeo
ɥʇʇǝzɐɔɐl ɹǝpuɐxǝlɐ :
fact
2026-08-31 06:55:53
4
abbasisharifu1211
AYWAAA ONLINE TV :
TUTENDE WEMA TUSAIDIE WATU ATA KAMA WATATULIPA MABAYA MAANA MALENGO YETU SIO WAO MALENGO YETU NI ALLAAAH
2026-09-14 16:02:09
2
user9558157827743
marejaOne :
mmezidi kuwa washauri sasa nyie mnashauriwa na wakina nani? hebu Kila mtu aishi maisha yake bwana
2026-08-31 04:54:13
8
husseinally340
levina💋💋 :
kweliii kabisaa
2026-09-02 16:55:05
1
cmhanje78
Castro mhanje :
big up sana sister
2026-08-31 15:13:20
0
user1178300901681
msagula :
kweli kabisa
2026-08-30 22:20:54
5
moh.trainer1
Moh trainer :
real
2026-08-31 06:01:48
1
wakati626
Wakati~62 :
kweli mama umesema kweli
2026-08-31 05:29:58
4
ccterloved
Diana Lugola :
toa kwa ajiri ya Mungu sio kwa ajiri ya wanadamu
2026-09-01 04:59:46
3
keckponxucaz693
trust in GOD :
niffer kumbe unahakili sana
2026-08-31 08:44:46
4
g748822
G7 :
Ata nitafute bilioni za pesa watu wakiishi na maumivu Mimi sina raha na pesa zangu. Formular ya kuishi utoe excess sio utoe pekee ulichonacho. Mwanaadamu hana shukran but toa kwa ajili ya Mungu Dada. Ukiangalia sana Binaadamu mmh Dunia utaiona ni ngumu sana. Panga mipango yako na mungu yeye ndo anaupgrade mambo yako
2026-08-31 18:08:30
3
khadijaramadhani255
khadijaramadhani255g :
🥰🙏🙏
2026-08-31 03:46:28
1
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About