@uhamiaji.tz: #ePassport #eBorderManagementSystems #TanzaniaImmigration

Uhamiaji Tanzania
Uhamiaji Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 02:39:50 GMT
270200
15768
565
1107

Music

Download

Comments

timetravelexpart
Time Travel Specialist 🌠🌌☄️ :
pasipo bila rushwa never 🤣
2026-08-31 09:11:06
189
pink.mellow6
Pink mellow :
Hivi passport ni Haki ya kila mtanzania?? Tangu mwez wa nne mbk Leo nazungushwa na ilitakiwa nikasome mbka huyo mfadhili mwenye kagair kaon siko serious nikiwauliza nini shida mnaniambia passport yangu iko kwenye hatua nzuri nisubir mwez wa sita huu
2026-08-31 10:46:03
96
samson.makwaya1
Samson Makwaya :
cheti cha kuzaliwa mzaz anakitoa wap
2026-09-01 08:09:09
17
mamanonahouseoffashion5
MaMa NoNa house of fashion🤗🧥 :
nlipata ndani ya week tatu tuu mko vizuri sana wakuuu🙏🙏🙏ila mpaka sahv sijasafiri🙌😂😂
2026-08-31 12:05:24
57
yusratz26
Y U S R A H🇹🇿🦋❤ :
Yangu toka mwezi wa 10 mwaka Jana kila siku naambiwa nisubiri wiki mbili nikienda wanasema bado nikarudi tena kurasini nikaambiwa siwezi kupata niombe tu barua ya mwaliko wa Sehemu ninayoenda basi imebidi nitulie 2
2026-08-31 13:27:25
10
monalisakisusi
Monalisa Kisusi :
mmmmmh kwani nyie mnaolalamika mnafatiliaje hizo passport? mbona mimi nilikamilisha documents zinazotakiwa nikapeleka na kulipia nikabaki kusubiri wiki 3 ikatoka? bila kutoa rushwa na bila kuwa na mtu yeyote sijui refa,nyie wenzangu mnafanyaje kwani? 😳😳😳
2026-08-31 06:12:50
7
verynic.0
Verynice :
Mm nilipata 2024 ila sina pa kwenda
2026-08-31 16:47:06
9
josephine63679
joo :
unatuma maombi ya kuomba passport
2026-08-31 13:16:19
2
kwaumoja
Bongo bahati mbaya #madewithf :
nafatilia paspot toka mwezi wa pili mpka leo sijapata.watu wanasema bila vishoka utoboi nilibisha na kwer sijatoboa mpk nimegaili
2026-08-31 05:33:49
12
user7115041619490
user7115041619490 :
Teresa amesababisha yote haya
2026-09-23 19:43:14
17
noel.123e
Kendrick :
kama mzazi Hana cheti Cha kuzaliwa??
2026-09-29 05:01:13
1
mbulijunior
Mbuli Junior :
Katika Ofisi Tanzania zinaongozwa kiuweledi ni hapa,yaani kama sehemu zote za maombi zingekua kama Uhamiaji Wallah Nchi yetu tumgekua mbali
2026-09-29 11:28:46
1
emanuel_liberath
Prince Emanuel. :
Jaman kwanini msifanye mambo yakawa mepesi kwa kutumia nida na biometrix?
2026-08-31 14:49:38
9
nusi005
nusi :
Ss nataka kuomba passport ole wene mnizungushe😁
2026-09-23 05:34:19
0
q68409
queen 👸 🥰 :
passport ikiisha mda wake inaruhusiwa kulinew
2026-09-04 08:27:47
0
user41916985295092
Diana princess :
mwaka wa 8 niko nayo ya blue
2026-09-01 09:19:02
0
misogynisticdaxxxxx
￴ ￴ ￴ 𝒀𝑶 𝑰𝑻𝑺￴ ￴𝑫𝘼𝑿 :
kipindi natafuta NIDA nilienda kulipia kiapo juu mzazi hana cheti chochote, hata sasa mnaweka hilo sharti la nini? ili nikalipie kiapo tena? hii nchi upigaji hautokoma
2026-09-03 07:19:29
0
queenward1
🧕__wârdâ🌸🌻 :
ivo chati cha kuzaliwa cha mzazi tunatoa wapi wakati hata wao hajui hata miaka yao ya kuzaliwa 😳😳😳😳
2026-09-03 09:57:11
0
jacoman7
jaco man :
barua ya maombi naitolea wapi?
2026-09-01 19:20:27
0
hawamaulid683
bint maulid🥰🥰 :
shingapi kuchukua eti
2026-09-10 08:56:06
0
pesayakijiji
PESA :
wale ambao wazazi wetu wametangulia mbele ya Haki??
2026-09-01 11:33:07
0
sarahurio185
Sarah Urio :
sasa kama Sina cheti cha kuzaliwa cha mzazi nifanyaje na nitaka kuapply
2026-09-05 09:32:24
0
demon.speed.africa
DEMON 😈 SPEED.(AFRICA 🌍M.K) :
apo wasubilien watoto WA 2000 maana watoto wao ni WA 2010 ao zazi wao vyet wanavo ila ss wakina 19.... wazaz vyet viliungua namoto maana nyumba za nyas zilikua nyingi🥹
2026-09-12 16:09:01
1
jacquline00
🤎Jackie🤎 :
Kama mzazi hana nakala ya passport?
2026-09-03 05:33:41
0
mwalimumatembo
Mwalimu Matembo :
Kwa nn kuwa na pasport hadi mniulize nataka kwenda wapi??
2026-09-02 09:16:55
0
To see more videos from user @uhamiaji.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

#wildrift #wildriftbr #aaaaram In Japan, piezoelectric tiles (piezo electric tiles) are used to turn the power of people's footsteps and walking into electricity. They are installed in places where many commuters pass through, and are used to power LED lights or displays. This seems like a great way to achieve a sustainable society and a smart city. What do you all think about this technology? #บรีสเอกเซล #freefire_lover #ท้ายExcel #ไฮไลท์ฟีฟายIn Japan, piezoelectric tiles (piezo electric tiles) are used to turn the power of people's footsteps and walking #garenarov #rov In Japan, piezoelectric tiles (piezo electric tiles) are used to turn the power of people's footsteps and walking into electricity. The energy generated by millions of commuters every day is harnessed to power LED lights and displays in crowded places like Shibuya Station. Achieving a sustainable society and smart city It's a great technique for#wibgajian #荒野行動 #荒野#荒野女子 # Njoy #スマブラ#sp#理下#荒野#対複 Wilderness #荒野行動+儿#荒野男子#荒野行動工 šk #war #gyat #reddit tiktok #cs2 #mw3 #highlights #redditstoriestts #mortalkombat #fc24 #zepetoapp #monkey #adventuretime #mk1 #totaldrama #free fire #spiderman2 #mortalkombat1 #npc #hololive #gamesnotiktok #otaku #a #japanese #travel #stitch #mexico #kyoto #japantravel #wtfmoments #fncs #totaldramaisland #cosplays #manotouhinh  H+): Hanto HiIn Japan, piezoelectric tiles (piezo electric tiles) are used to turn the power of people's footsteps and walking #garenarov #rov In Japan, piezoelectric tiles (piezo electric tiles) are used to turn the power of people's footsteps and walking into electricity. The energy generated by millions of commuters every day is harnessed to power LED lights and displays in crowded places like Shibuya Station. Achieving a sustainable society and smart city It's a great technique for # #anime#animeedit #animeedits#animeclips#animefyp#animefan #animefans#animecommunity#otaku#manga #narutouzumaki#sasuke#kakashi #boruto #onepiece#luffy#zoro#sanji#nami#gear5#naruto #jujutsukaisen#jjk#gojo#gojosatoru#itadori #sukuna #demonslayer#kimetsunoyaiba#tanjiro#nezuko #zenitsu #AttackOnTitan#aot#levi#erenyeager#mikasa #spyxfamily#anya#anyaforger #dragonball#dragonballz#goku#vegeta #chainsawman#denji#makima #bluelock#isagi#bachira #haikyuu#hinata#kageyama #tokyorevengers#mikey#draken #hunterxhunter#gon#killua #sololeveling#sungjinwoo #pokemon#pikachu#pokemonanime #GenshinImpact#genshin#hoyoverse #HonkaiStarRail#hsr #zenlesszonezero#zzz #bluearchive #nikke#nikkegoddessofvictory #umamusume #pokemongo #dragonballlegends #projectsekai #fategrandorder #arknights #azurlane #mobilelegends #mlbb #honorofkings #hok #leagueoflegends #wildrift #pubgmobile #freefire #Valorant #leagueoflegends  #wildrift  #wildrift  #wildrift

About