@oneminutewithsheikhjamal: Kadri unavyoshikamana na dini yako, ndivyo mitihani inavyoweza kuongezeka. Usikate tamaa wala usiache njia ya Allah kwa sababu ya maneno ya watu. Simama imara juu ya haki, kuwa na subra na mtegemee Allah. Hakika ushindi na nusra ni za Allah zipo🤲🏽🤍 #muslimtiktok #viral #islamicreminder #oneminutewithsheikhjamaludin #fyp