@mwl.emilian.katub7: Petro alipofika kwenye lango la chuma, lango lenyewe likafunguka Matendo 12:10 Usikate tamaa kwa sababu huoni njia. Mungu anayekufungulia mlango ndiye anayekutangulia. Lango unaloliona haliwezekani, Mungu anaweza kulifungua kwa wakati wake. Endelea kuamini, endelea kusonga mbele—kuna mlango ambao Mungu ataufungua kwa ajili yako wiki hii Na mimi nakuombea wiki hii malango yatakufungukia yenyewe katika jina la Yesu

Mwl Emilian Katubayemo
Mwl Emilian Katubayemo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 04:23:26 GMT
4308
972
170
24

Music

Download

Comments

cynthiakajaagende
user7262599294511 :
Amen Ameen and Ameeen In Jesus Christ Mighty Name I receive it 🥰Napokea 🙏
2026-08-31 07:51:03
0
user755613266610
myt :
ameen and ameen and ameen and ameen and ameen and ameen
2026-08-31 08:51:47
0
user5594810402767
user5594810402767 :
Ameeen in Jesus name
2026-08-31 07:52:32
0
rose.atieno04
Rose Atieno :
amen and amen
2026-08-31 04:46:52
0
vailetifikoti103
mama neysta :
Amen, mlango yangu yawe wazi daima
2026-08-31 05:17:38
3
lauryn.shayo
Lauryn Shayo :
Amen malango yangu yatakuwa wazi daima 🙏 Bwana amenifungulia mlango wa kufaa sana wlaa hapana awezae kuufunga kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth alie hai 🙏 🙏🙏
2026-08-31 09:06:08
2
unstopee
unstop op :
amen 🙏 napokea baraka kwa jina la Yesu 🙏
2026-08-31 08:16:02
2
lorachuwa
Manka❤️❤️ :
Amen malango yangu yawe waz daim kwa jina la Yesu 🙏🙏
2026-08-31 07:19:08
1
furahamwaya2
furahamwaya2 :
Amen Amen, malango yangu yakawe wazi daima
2026-08-31 06:18:00
1
prospermuhindo4
prosper :
Amen
2026-08-31 05:28:52
2
user4161215837255
user4161215837255kavugho Esthe :
Amen amen amen malango ya kimbali kwa mausiyano yangu ifunge kwa jina la yesu krito
2026-08-31 04:45:16
1
loniee600
loniee💯💯 :
Ameen, malango yakafunguke eeeh Mwenyezi MUNGU, malango ya uganga na uchawi yaliyofunga baraka zangu mwisho leo naomba kibali kwenye kila kitu oooh my LORD. 🙏🙏
2026-08-31 09:34:49
0
nairesiaijoyce
joynairesiai :
ameeen
2026-08-31 09:33:14
0
liza.liz61
Liz liza :
amen and amen 🙏 🙌 👏
2026-08-31 08:34:18
0
ashaathumani996
Ashah Athuman :
amen and amen
2026-08-31 07:54:29
0
par.coeur8
par coeur :
amen amen amen amen
2026-08-31 04:42:52
1
user1807216593681
misheck :
Amen
2026-08-31 09:29:26
0
aidaasajile
Aida@ :
Amen🙏🙏🙏
2026-08-31 09:31:28
0
betty5p7
Betty.P5 :
Ameni🙏
2026-08-31 09:39:33
0
hellenkalekye
Hellen Kalekye :
Amen Amen
2026-08-31 09:16:26
0
gloriamishy
@_glo.r.i.a :
Amen🙏
2026-08-31 09:37:35
0
wamalwa_winnie
Wamalwa_winnie :
amen and amen 🙏🙏🙏
2026-08-31 04:37:15
1
francisca.nduku6
Francisca Nduku :
Amen Amen 🙏
2026-08-31 09:19:15
0
yuniselias5
Eun🦋 :
amen🤲
2026-08-31 04:48:20
1
user3385673123639
Alice :
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
2026-08-31 09:22:45
0
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About