@maria.44440: Malindi sports club (fanja) ulikuwa utawambia nini wazanzibari kwa mpira leo mpaka michezo wamenyanganywa

zanzibar ❤️
zanzibar ❤️
Open In TikTok:
Region: CA
Monday 31 August 2026 04:40:07 GMT
13026
481
29
61

Music

Download

Comments

emmy04240
Emmy :
dah ukiyakumbuka lazma chozi lidondoke siku malindi ikishinda hapo burdan za royal airforce yasalaam , na siku ikicheza na small simba ohoo tusokwenda uwanjani tunaanza kujipanga barabarani round about ilikua raha raha tu! dah zama zirudi zile
2026-08-31 06:44:54
7
bildon8
Peace lover :
Duu namuona Marhem Ali shaff Adof Allah amsamehe makosa y amuweke ktk janat
2026-08-31 10:39:13
4
himselfhimself165
himself :
wimbo naomba jina
2026-09-04 06:54:36
1
muhammadhussein1310
King of the Jungle :
Siasa zimeua mpira wa zanzibar
2026-08-31 19:40:12
2
esheahmed509
…. :
🥰🥰 ameen znz
2026-08-31 12:37:07
1
khamisishaban
@khamisi💯❤️ :
wakati wa dabby ya malindi na small simba duuuuuh raha ilikua sana.mpira leo zenji hamna tena!@@
2026-08-31 18:03:22
2
aballflavourchuptachupta
aballflavour :
Golkipa jee
2026-09-10 17:16:47
1
mimitto90
mimitto :
nimemjua amour aziz na Ali sharif hapo
2026-09-03 00:29:38
1
mrs.ramos967
Mrs Ramos :
Malindi ya Amour Azizi Kijeba🥰🥰
2026-08-31 16:18:17
1
samata1959
samata :
da chama langu la moyoni
2026-08-31 09:36:03
1
skip6235
skip :
Sasa ya vyama vingi ilipopiga hodi October'95 na soka ndio ilipoaaga bye bye
2026-08-31 23:57:13
1
rodofaki0
rodofaki :
tem ya kwanza Tanzania kuvaa jezi nzuri na zenye majina nyuma
2026-08-31 08:12:10
2
user44186911365136
bestman :
Muda umeenda sana NamuonanCaptain Sheha Khamia ambae sasa ni kocha uhamiaji, Amour Azizi sasa anatengeneza visanduku na Zanzibar Door hurumzi pale Ali Nassor haonekani kabisa
2026-09-01 14:11:24
1
mrambwani
MRAMBWANI :
dahhh siasa mbaya wallahi hii team.imekufa kwa siaaa tuu
2026-08-31 07:46:55
1
man4electrical
Eddy :
Mbegu simuoni? Eddy Andallah simuoni, Bushiri
2026-08-31 18:07:25
1
salim.jr48
salim jr :
naiyona apo nmb 6 matata sann kipindi icho
2026-08-31 06:40:41
1
tizedboy
Tizedboy 🇹🇿 🇩🇪 :
Achana na waliovaa kiraia: wa kwanza kushoto ni Ali Nassor na wa mwisho kulia ni Amour Aziz. Ndio pekee ninaowakumbuka😁
2026-08-31 21:17:56
1
user44186911365136
bestman :
Waliosimama kutoka kulia ni Marehem Noushad Mohd, Amour Aziz Kijeba Juma Bakar Kidishi Kipa Marehem Rifat Said na mwisho ni Marehem Ali Sharif As of na waliokaa kutoka kulia ni Ali Nassor Kibichwa , Victor John Bambo, Captain Sheha Khamia ambae sasa ni kocha wa uhamiaji Zanzibar , Rashid Salim Tall na wa mwisho ni Atanas Michael striker goal enzi hzo dabi ni small Simba na malind hapatoshi Uwanja wa Amani daa chama langu ilo enzi namkumbuka shabiki nguli wa malindi kilindi icho Changudoa.Kipindi sana
2026-09-01 14:08:03
1
imtiyaz_mohanmed
Imtiyaz Mohanmed :
Almarhum adolf naushad allah awape safar njema
2026-08-31 11:16:39
0
gallas.mlinz
gallas mlinz :
🥰🥰🥰
2026-08-31 06:29:17
1
samirchamck7
Samir chamack🇨🇦🇺🇸🇦🇪🇹🇿 :
🥰🥰🥰
2026-08-31 05:38:47
1
shushyy39
shushyy :
🥰🥰🤩
2026-08-31 06:16:06
1
husseinbahbesh2
master_besh :
🔥🔥🔥
2026-08-31 11:24:10
0
To see more videos from user @maria.44440, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About