@swiiftiphonecenter: 🔋 Battery ya Android yako inaweza kudumu vizuri zaidi ukibadilisha settings hizi! Watu wengi wanajua kuchaji simu… lakini hawajui kwamba jinsi battery inavyochajiwa kila siku inaweza kuathiri matumizi yake ya muda mrefu. 📱 Battery Protection → Weka MAXIMUM Hii husaidia kuweka limit ya charging ili battery isikae kwenye kiwango cha juu cha chaji kwa muda mrefu. ⚡ Adaptive Battery → Weka ON Simu yako hujifunza matumizi yako na kusaidia kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ya battery kwenye apps ambazo hutumii mara kwa mara. 🔋 Usisubiri battery yako iharibike ndipo uanze kuitunza. 👉 Save hii video, weka settings hizi leo, na share kwa mtu mwenye Android! #AndroidTips #BatteryHealth #BatteryProtection #AdaptiveBattery #SamsungTips

Brighton Gunda
Brighton Gunda
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 04:44:02 GMT
136123
6552
122
502

Music

Download

Comments

abermstafa
Aber Mstafa :
lphone
2026-08-31 05:56:19
0
matha.josefu
mathajosefu :
Iphone
2026-08-31 12:36:46
0
agy0727
✨A27🧡💛 :
labd cyoo samsung 😁😁
2026-08-31 13:47:01
0
edwardjohn513
EDWARD JOHN :
Acha ife anakufa mtu itakuwa simu kwan dukani zimeisha
2026-08-31 08:44:39
20
dott.d8
Dott D :
Samsung
2026-08-31 09:04:36
0
zabron1336
Zabron :
Kwaio Hamtaki Charge iishe ,,
2026-08-31 06:44:08
1
kadzo.kazungu6
Kadzo Kazungu :
iphone
2026-08-31 12:27:08
0
hugo23996
h*u*g*o :
punguzeni uongo basi samsung uchaji siku tatu🤣🤣🤣🤣 nimeset ila bado ni yale yale
2026-08-31 06:32:56
11
almaspharahoney
A.Pharahoney😜 :
siku 3 labda iyo sio Samsung ☺️😅🤣
2026-08-31 11:01:12
2
aggymwashyy
aggie mwashyy :
labda so samsung hiyo🤣🤣🤣
2026-08-31 13:46:33
3
user9828226385608
shady cute 💫❤️ :
mh sio kwa s10+ aikai ata na chaji
2026-08-31 13:20:56
2
salukid3
salu kidd :
atakama usipo chaji itakufa kwa ugojwa wa kuishi miaka ming
2026-08-31 10:14:02
1
madeh_sam
Madeeh Sam :
yangu ipo kwa settings iyo lakn chaji sku moja
2026-08-31 11:15:13
3
editasumari12
editasumari357 :
nipe ya kuseve bando
2026-08-31 16:35:50
0
dogom16
Miro_Jr💤🫰🤟🤟👏 :
asante chana
2026-08-31 15:44:59
0
amrani287
💦My Mira💘 :
nimeset hivyo ila sm kwa siku nachage mara 2😏😏😏😏
2026-08-31 06:12:24
2
festo.d
festo D :
acheni uongo 🤣🤣🤣😂😂😂
2026-08-31 06:01:27
1
oscarhanson181
Oscar Hanson :
ila kwenye siku tatu hapo umeupiga mwing
2026-08-31 16:02:03
0
musunga09
musunga iPhone 🇨🇩🍏 :
iPhone
2026-08-31 06:56:35
1
mrkoller4
chinava666 :
sas kila siku munasema setting izo izo afu simu dakka2 akuna chaj😁😁
2026-08-31 14:16:21
0
ally.maugwa
ALLY BRAND👑🇹🇿 :
natumiasimuyavivo
2026-08-31 16:36:25
0
asmahani.yussuf
Asmahani Yussuf :
nimefanikiwa asny bro
2026-08-31 16:39:59
0
user9397872023002
Omotola :
achante
2026-08-31 14:43:12
0
user3358856781006
vyatsemire kavunzungwire byv :
mimi Natumikisha docomo
2026-08-31 14:48:22
0
user9706381061665
Emmy Alex :
hii S22 yng kwa siku nachaji had mara tano
2026-08-31 15:20:28
0
To see more videos from user @swiiftiphonecenter, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About