@madiniplus_: Ameyasema hayo Albert Kassa, Mkurugenzi wa Kassa Charity na Kassa Zoo Ltd, kwenye Jukwaa la 'AMINI UNAWEZA TOUR' lililofanyika ukumbi wa Academy ya Benki kuu Jijini Mwanza. @brightafricans 🎥 @digitalkonatz
inategemeana na aina ya kazi.
unafanya kazi ya ulinzi wa geti la chuo unategemea kutoboa?
2026-08-31 06:31:40
5
MARROW :
sasa kaz izi zitafanywa na nani?? acheni tamaa, acheni kupotosha. nchi lazima ilindwe, nchi hii lazima ijengwe na watu wazalendo, japo inauma kuona wabunge na mawaziri wanapata pesa ndefu saaaaana
2026-08-31 10:48:59
1
xchn :
mchungaji Albert Kasssa
2026-08-31 07:52:30
1
susha :
Wengi wao walitengeneza pesa kabla kuacha Kazi tuwe makini
2026-08-31 10:51:28
0
Iddi sadick :
saiv kila mchungaji anatembea na trending ya kuacha ajira
2026-08-31 11:00:45
0
Frank m :
uwizi unahusika apo tatizo amsemi ukweli
2026-08-31 07:28:17
0
PdkOfficial :
tutajia ulipata anira ya nm
2026-08-31 07:04:26
0
To see more videos from user @madiniplus_, please go to the Tikwm
homepage.