@macknon_nana: PART 2: "THE DEVIL'S BREATH " || MAMA KAIBIWA KILA KITU KWA NYUMBA NA PESA ZA SCHOOL FEES! #nairobitiktokers #kenyantiktok🇰🇪 #fyp #howto #creatorsearchinsights

𝐌𝐀𝐂𝐊𝐍𝐎𝐍 𝐍𝐀𝐍𝐀
𝐌𝐀𝐂𝐊𝐍𝐎𝐍 𝐍𝐀𝐍𝐀
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 31 August 2026 05:22:08 GMT
82356
5112
206
1644

Music

Download

Comments

bis.ray
Bis.Ray :
Me during 2015 in Mombasa.i gave everything including my ATM
2026-09-04 15:55:10
0
marynduiga866
Mary veggies 🥦🍆 :
mimi naye ni jana pale juja...cant believe
2026-09-04 05:54:46
0
daisygau0
Oduol-d :
Ei! Yaani baada ya kupeana bag ikiwa na samsung tablet ya job, phone ya job na my personal phone, I went ahead and gave them the money I had kwa mfuko before akili isnap. Kuelekeza mtu direction ya kuenda church iliishia kuibiwa everything
2026-09-04 07:35:44
2
liz.frank1
Liz Frank :
May God judge them severely
2026-09-04 02:57:53
0
wa.mutuku
Dorry.2 :
Walinifanyoa hivyo tao, wakaniachia 10bob only. I'll never forget
2026-09-04 19:06:22
2
the_heaven_bound
The Sojourner :
kama hizo ni pesa za Kenya hizo ni story za uongo or rather adopted from real stories but exaggerated
2026-09-05 03:12:53
0
user2680108562781
content creator 🥰❣️💯 :
mimi nakumbuka tu vizuri it's was on Tuesday evening 🌆, nilikuwa natika salon nikapatana na mama wa kwanza akanisimamisha akaniuliza unaweza nionyesha njia ya kuenda supermarket ya k_mall nikamshow naweza wapeleka najua mahali iko,,vile nilikuwa na haraka ilibindi tu niwapeleke,, alf before Tuende akanishow naweza kuambia kitu,, nikamwambia ndio akaniambia naona kuna wachawi wawili wanakuroga wakati wa periods zako,nikamwambia exactly period yangu huwa inanitesa sana,,mama mwingine akatokea hapo nyuma yangu akamsalimia,,mimi nikadhani hawajuani,,huyo mama hanajifanya nabii akaniuliza mbn naona jirani wako ndiye aliua brother ako huyo mama wa pili akamuuliza umejuaje akamwambia yeye ni nabii anaonyeshwe na mungu,,akamuuli atoe sadaka ndo amuombee,,mama huyo wa pili akatoa alafu kama unaniami niachie hizo vitu zako ukonazo na nitakutuma mahali uende uombe na ukiwa unatembea husihangalie nyuma mama huyo akafanya alivyoangizwa akaambiwa aende hapo chini ya transformer afunge macho aombe ataskia sauti ya huyo brother ake aliyeuawa akimwelezea jinsi kifo chake kilihappen huyo mama wa pili akaenda akaomba then akarundi akamusimulia alivyo skia sauti ikimuelezea,,alafu huyo mama anajifanya nabii akaniambia nataka ufanye hivyo tu huyu mama alivyofanya,,na akaniambia kama hunatuamini utuachie hizo vitu zako zote,,nikawapatia na nikaenda mpaka hapo kwa transformers kurundi sikuwaona tena wallae,,nakaanza kuulizia watu if kuna wamama wawili wameona wakaniambia hapana,,kuulizia mzae mwingine hapo ananishow ameona wamama wawili wakiingia kwa gari,,my friend na hivyo ndivyo simu yangu na pesa zilipotea,, saai ata nipatane na kiwete aniukizie mahali nikumuacha hapo akufie hapo
2026-09-02 19:14:02
5
halimaarisha
Halima arisha :
Niko na swali,,,,,ukiwa na mask unaweza inhale hio chemical?????
2026-08-31 05:53:01
3
emilykamau480
emilykamau480 :
hawana ata aibu waliibia mamangu na Ako 80 years alienda akiomba fare
2026-08-31 07:32:48
10
steve.marash
Steve Marash :
mimi iyo dawa hiez confuse mm
2026-09-03 20:23:21
0
hon.sheryl.ayieko
Hon.Sheryl Ayieko :
when the deal is too good think twice😭
2026-09-03 21:17:48
4
mutoma.emmanuel
emmanuel😏 :
mii nilifanyiwa ivo mbaka sai niko chokora tao
2026-08-31 06:31:47
4
sissy.elvi
sissy elvi :
mi sitasahu hii tarehe 6 mwezi 4 2024, karibu ni chizi.
2026-09-02 12:41:31
2
kiganmoschinoo
Nambale Kidd :
Mimi kitu nilifanyiwa last year Feb date 24 Monday asubuhi hapo sa nne
2026-08-31 07:31:08
3
topy039
topy :
2019 pale otc,mwanaume na mwanamke woiiii na same day nilikuwa nimelipwa hivo ndo pesa zangu zilienda zote
2026-09-05 05:29:20
0
ray589600
Ray :
this Saturday a friend naye alifanyiwa hivi na mtu need akimuomba ambuyie unga wako njaa.akaingia naye supa akanunua unga kumbe ndio trap hapo alijipata after 3hrs hana lolote
2026-08-31 08:02:43
1
sweetlove7836
Cynthia hunter :
Ile kutembezwa nitembezwa from gethurai to roysambu juu ya hiyo dawa..thank God nilikua na 70bob na simu kabambe...na sikua na atm...aki hawa watu...
2026-08-31 07:48:59
3
user3654050887155
user3654050887155 :
mimi nimepitiya yaho mombasa
2026-09-03 01:24:03
0
jacintapilale
jacintapilale :
Mimi hapa nalia 😭😭😭😭mama aliniuliza uko na mpesa,, nikwambia ee,,bt after hapo 65000 nilimupa na mkono yangu 😭😭😭😭🫨🫨🫨
2026-09-02 08:13:30
2
tajilijohn
s .g .p... john :
hizi vitu ziko walai
2026-09-04 16:43:47
1
jackline5898
😍lovely 🌹 Queen 👑 :
mimi nilifanyiwa hivyo kwa mkono na nikaimbiwa kila kitu nilikuwa nacho ata pesa zilizokuwa kwa bag
2026-08-31 06:52:09
2
mercymawia24
mawia :
the same thing happened to me msa cbd,,kuulizwa direction tu,na walisema wanakuwaga kw tv
2026-09-03 17:28:48
1
nyaboke297
nyabuu 2023 :
Huwa wanajuaje huyu mtu Yuko na pesa?
2026-09-04 05:32:12
1
mamaprecious624
kabaras finest 🥰🥰🤙 :
Jesus have mercy on us 🙏🙏
2026-08-31 07:16:42
3
wapeninah8
wapeninah :
Asante kwa kucreate awareness.
2026-08-31 07:06:54
3
To see more videos from user @macknon_nana, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

A thought is not a cloud. It doesn't just pass through and disappear. It's more like a worker. Every time it shows up, it picks up a tool and starts laying bricks. Same thought tomorrow? More bricks. Same fear next week? More bricks. Same story about yourself for the last ten years? That's not a cloud anymore. That's a building. Your brain doesn't care if the thought is true or useful. It just responds to what repeats. This is why you can understand your patterns completely - and still wake up with the same heaviness. Because understanding doesn't rewire anything. Repetition does. And right now, you're repeating something. The question is what. The thoughts you feed in the morning. The reaction that fires when someone ignores you. The way you talk to yourself when you make a mistake. That's not inner dialogue. That's construction. You've been building without realising it. And if you don't like what's been built, you don't need more insight. You need a different repetition. This is exactly what the system is for. 📖 21 Days From Limitation to Quantum Transformation - the process of shifting your inner state at the deepest level, day by day. 📖 Quantum Relationship - the shift that changes how you experience love, connection, and the patterns you attract. 📖 Atlas of Your Reality - the map to see what's been running your life and how to rebuild it from the inside. Three books. One system. Shift. Connect. Rebuild. 🔥 3-DAY OFFER - ALL 3 BOOKS FOR $50🔥 Your brain is already building something. You might as well choose the blueprint. 3 days. $50. Then back to $65. Link in bio. 🔗

About