Kwanza Mimi ni overthinker na introvert kwisha yeye🥰
2026-08-31 10:28:58
4
cy🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 :
mimi ni overthink + introvert group o tena sagetarrius munisaidiye mwenzenu nachoka
2026-08-31 07:48:59
29
culathe :
khaaaa kuwa overthinker inaumiza Sana 😁🙌
2026-08-31 06:02:55
114
One Army ❤️🔥 :
yaaan unakuwa overthinker+ group O + introvert yoooh 🙌🙌 kwishaaa
2026-08-31 10:31:39
1
太阳出来了* :
me overthink introvert group O halafu leo kinachonikuta baraa
2026-08-31 09:52:26
0
hanntah☺️🥰 :
overthinker + introvert blood group O+ march pieces
kiburi kwa Sana
2026-08-31 12:43:27
0
redychiza :
Me Stan bun unatutangaza 😂😂😂
2026-08-31 06:47:43
0
secret diary🤌 :
mim ni overthinker pia ni introvert na ni virgo uwiiiii
2026-08-31 08:26:08
13
glega :
overthinker + introvert +scorpio kabla sentence haijaisha kashajua unadanganya na uongo wake unapoishia Ila anasubiri tu umalize
2026-08-31 08:19:47
18
Beatrice$ :
me me huyu naweza kuota na inaweza kweli🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-31 06:35:33
8
smile princess :
so nyie humu wote ni overthinker ni introvert na ni grp0 haya sawaaa
2026-08-31 09:11:11
7
cici132 :
yalinishinda 😂😂😂😂 kosa la mwaka jana likitokea jingine leo lamwaka jana linaletwa upya anakuunganishia.
2026-08-31 07:05:38
17
Mary🐾 :
na umesahau kit hapo na akimkosea akamsamehe akirudia TU kosa overthinking anarudi vyuma kwanzaa vit vinaanza upyaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣
2026-08-31 07:42:14
12
Judy queen🇰🇪🇰🇪 :
huyo ni Mimi sasa,, afisa upelelezi sijawai fail😅
2026-08-31 07:34:58
7
ane💞 :
sikujuaga kama Me ni overthinker baada ya kua nakutana na hizi video ndo nimejijua😂
2026-08-31 08:29:13
6
Miss Aries🦋🦋 :
so I'm overthinker🤣🤣🤣🙌
2026-08-31 07:40:55
1
MERIANA🤍🩵🔑 :
Aanha huyu ni mimi na mimi nina mambo haya mawili ✌️
2026-08-31 06:48:25
6
De boss :
Yan huyo n mim overthink plus introvert usk badal ya kulal naanz kuchanganua neno baad ya neno tukio baad ya tukio mpnz wang Mung amsaidie tyu ila ameshanijua 😂
2026-08-31 06:47:49
7
aika toto.Tz🇹🇿 :
😂😂 mamb ni hay ✌️na sijuh kwann usingizi huwa unaisha kabisa
2026-08-31 05:31:53
5
naah :
huyu mimi kabisa😂😂
2026-08-31 09:53:04
1
neemakidoti_ :
😅😅😅😅alooooooh
2026-08-31 10:09:01
0
Dayness 🚦 :
😂😂😂😂Hivita anaijua mme wangu mbona
2026-08-31 07:43:19
1
Juliet mwesh :
wangu ananiambianga napendanga kujijazia mambo yenye hayako😂😂😂
2026-08-31 07:51:01
1
To see more videos from user @mr.challenge_, please go to the Tikwm
homepage.