@kibopa_farm: Ukitaka kuanza kufuga vifaranga inakupaaa kuchagua vifaranga kutoka chanzo kinachoaminika, hakikisha vifaranga vina afya nzuri, vina nguvu, macho safi, miguu mizuri na rekodi ya chanjo inapopatikana. #ufugajiwakuku #chickenfarming #poultryfarming #KibopaFarm #poultry

KIBOPA FARM
KIBOPA FARM
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 05:25:22 GMT
64311
2759
151
179

Music

Download

Comments

paulmasssawe3
paulmasssawe :
auna grop wasrap uniunge mjomba
2026-09-14 18:53:53
1
asu.akm
Asuu, :
kweny kurup la kuku waugwaje
2026-09-13 11:46:06
1
dhulkifli_12
dhulkifli_12 :
tafadhali naunge ktk grupu la kuku farm
2026-09-01 07:54:59
3
zuu6187
Zuu :
Nahitaji bada la kısasa la kuku bei gan?
2026-09-14 12:09:56
1
missanajaphet7
Em_Jay :
pia wanasema kutoboa kimaisha kwa ufugaji ni mbinde😁
2026-09-03 07:12:46
7
user8059686099161
Winnie Farm :
Kwa mkono wa Mungu nitatoboa
2026-09-10 08:48:08
3
godfreyshao933
G nation :
ukiwa na stock amn aja ya kukata tamaa apa ni ela tupu hii
2026-08-31 18:23:22
8
salma.shaali
SalmaShaali :
Kati ya ufugaji wa kuku wa kienyeji na kuku wa Maya wepi wanafaida zaidi
2026-09-09 08:49:50
2
usersammbenya
SAMWELI SALESI :
kuku gani ao bro
2026-09-06 09:24:54
2
saidan129
saidannderuo :
sitaki kisukari mm
2026-09-01 16:55:13
1
neema.ezekiel03
Anti Ney 🐤🐤🐓🐓 :
Naweza bila shaka
2026-09-01 18:19:43
3
juline.emanuel
Juline Emanuel :
bei gani Cha siku moja
2026-09-01 15:51:47
2
lifeyaomera
Life Ya Omera :
Hawa unauzaje na order ni Kuanzia ngapi?
2026-09-02 11:21:13
2
pelesamanyisye
Pelly :
Nipe elimu tu
2026-09-01 17:12:45
1
jane270948
jane :
naweza
2026-09-02 07:59:10
1
user6674219395561
user6674219395561 :
nikiwa na pesa natoboa
2026-09-01 13:04:52
1
rehema.edambo
rehema edambo :
natobowa kwa uwezo wa Mungu
2026-09-02 13:31:04
1
arky9ine
ARKY9 :
mmmmh uwiiii Mungu nisaidie
2026-09-01 17:12:22
1
mgeniottow1
mgeniottow1 :
hongera sana .. hao ni aina gani
2026-09-01 19:05:13
3
winnieswai843
Winnie 💋 :
Natoboaaaa
2026-08-31 12:47:44
2
rosesebastian315
rosesebastian315 :
nikazi
2026-08-31 17:28:15
3
asiamwadini545
Mrs🥰Apenek 🫂🥳 :
jamn hiv visauti munawezaje kuvidhibiti
2026-09-02 20:24:59
3
didaah40
didaah40 :
mmmmm mm naweza kulia😆🤣
2026-09-01 18:05:20
1
viollen124
Mumy Roshn❤️❤️ :
Aaaah natoboaaaaa box 😂😂😂
2026-08-31 15:53:47
1
To see more videos from user @kibopa_farm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About