mm nahis asitafute ushauri afanye atakavyoona yeye ni sahihi mapenz haya si yakutaka ushauri kwa mtu
2026-08-31 14:20:24
4
user3766327263622 :
anataka ushauri gani hapo jmn nyie mapenzi ni mtihani sana mtu jibu unalo alafu anaomba ushauri
2026-08-31 06:41:15
3
Abass Juma :
hujambo naomba niitafute in box
2026-09-03 12:45:00
1
hamad muhammed :
amuache amuache amuache asimsikilize hata kidogo
2026-08-31 06:11:42
2
aminajuma766 :
Mungu ampe wepesi wa kutoa TALAKA
AMPE MKE MWEMA MWENYE KHERI NAE AMIIIN AMIIIN🥰
2026-08-31 13:09:35
0
nassib decoration :
atoe red card
2026-08-31 14:30:10
1
majaliwa yaqub :
amuache Tu abaki na yule x wake wakwanza
2026-09-01 07:24:28
2
Omar bare :
story time
2026-09-01 12:19:13
0
Zuhura Masoud :
ushauri gani hapo baada ya kumuacha au anataka na yy aolewe na huyo mwanamme mwenzake
2026-08-31 06:52:56
2
darkvibe :
na ndio maana sitaki kuowq
2026-09-02 17:13:56
0
T.money❤️🔥💸 :
Hapo kaka tukushaur nini 😳mvumilie mpende yeye na bwana ake
2026-08-31 15:00:53
1
hafidh khamis :
amuach tuu Hakan haha ya mamb meng
2026-08-31 10:53:49
0
Mwajuma Hamdu :
mh
2026-08-31 06:09:24
0
Mbaruku_ramadhani :
mambo mrembo nakupenda sana ww
2026-08-31 20:48:39
0
allysley :
aache mke w mtu hawez kutulia uyo 😂😂
2026-08-31 12:42:18
0
Salim Mahsen :
A A
2026-09-01 09:01:31
0
Hamid Hamid :
je..ww tayri ushaolewa am vp
2026-09-01 08:15:00
0
professor👗👡🎒 collection :
kabisa
2026-08-31 09:00:28
0
Mwajuma Hamdu :
Hatari kubwa
2026-08-31 06:09:37
0
KARIIMA ABDALLAH :
ilitakiwa huyo mwanamke abadilishe namba ya simu au am block number na afute ili wasiwe na mawasiliano na ex
2026-09-04 08:46:11
0
Fatuma :
amwache tu huyo watasumbuana
2026-08-31 09:17:19
0
Zulekha :
Daah mtihani
2026-08-31 05:38:31
0
MRS SAHIL❤️🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Kwanza nishajifuza mambo mengi kwenye maisha yangu nishawajuwa wanaume vizuri kitu staki kufanya nikiolewa kuanza ujinga na ex kwanza akome alikuwa wap sk zote akiachika awato kuowa kamwe watakuacha apo na ujinga wako uyo akiachwa apo ato mwona ata uso wake ngoja nipo ap
2026-08-31 05:42:01
5
miss dija :
Mpk kufikia hapo bora amuache kabla hajaja kulea mtoto ambae siwake
2026-08-31 05:36:15
3
To see more videos from user @muaydi3655678, please go to the Tikwm
homepage.