kama ndio ivyo kweri south africa maisha rahisi sana huku kuku wakyenye rand 80 mpaka 90
2026-08-31 19:38:25
1
flo :
Hata huku kwetu Iringa kula kuku ni anasa kubwa sana
2026-09-01 14:57:10
0
sir :
nafuga mwenyewe kaka.
space ipo!
2026-08-31 13:48:10
0
Sultan :
Ninao wengi nafuga mwenyewe, mara chache nauza
2026-08-31 14:11:50
1
Mk Erick :
kwani huko mboga hua mnatafuta za mchana na jioni 😂
2026-08-31 22:40:00
0
Roberto De Walter :
watu wajenge hulka ya kufuga wenyewe. kwanza inafanya unachangamsha akili unajihusisha na viumbe vingine unaondia stress alaf unapata msosi kupitia mayai na nyama
2026-08-31 16:29:49
0
james umeme Tz :
20000 25000 mp 35000
2026-09-01 05:27:49
0
Elinjimia Ngoti :
😳😳😳
2026-08-31 07:10:44
0
shabani_shaibu :
😁
2026-08-31 06:03:44
0
Father Kussimula :
🥰🥰🥰
2026-08-31 09:20:06
0
To see more videos from user @mstaafu_forum, please go to the Tikwm
homepage.