@abuu_tasneem: SOMA DUA HII MARA 3 … ASUBUHI NA USIKU Matamshi: Bismillāhil-ladhī lā yaḍurru ma‘asmihi shay’un fil-arḍi wa lā fis-samā’i, wa Huwas-Samī‘ul-‘Alīm. Maana: “Kwa jina la Allah ambaye pamoja na jina Lake hakuna chochote kinachoweza kudhuru ardhini wala mbinguni, naye ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.”