@veriafya: Umekuwa unahangaika juu ya mbinu gani uitumie katika kufanikisha zoezi lako la kufunga chakula kwaajili ya kuboresha afya? Kupitia mahojiano aliyofanya na Upendo Media, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi anashauri utaratibu mzuri wa kufunga chakula kwa mwezi mmoja, msikilize ujifunze

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: DE
Monday 31 August 2026 05:48:37 GMT
16896
400
27
118

Music

Download

Comments

tinnah.tonny
Tinnah Tonny :
nakushukuru sana nimeshaona matokea mazuri mno
2026-08-31 11:38:30
3
emazul_jr
Emazul_jr :
Mzes Janabi,namkubali sana..anapambania sana afya zetu zikae sawa ila watu hawataki kumuelewa.
2026-08-31 12:31:55
3
soniajesse32
fanta :
hap nmeshakula mdudu nusu na ndiz3 na coke 😭😭😭 ndo najuta ssa😂
2026-08-31 12:30:36
0
amalita254
Burak :
team leo jamani tuanzeni
2026-08-31 08:10:48
2
mr.v.t2
Mr.V.T :
FACTS
2026-08-31 15:09:18
1
fatuma.suleiman0
Fatuma Suleiman :
na mie nanza leo
2026-08-31 07:16:07
1
mkingafighter
MKINGA FIGHTER💪 :
Ndo mfumo wangu saivi nikihamka asubuhi sili kitu mpk saa 12 jioni mpk kesho yake tena saa 12 yaani saivi fresh asante sana docta kula kula ovyo kunaharibu mwili mtu anamka asubuhi anakula supu chapati 3 na juice juu alafu mchana anakula ugali nyama choma na usiku anakula wali nyama duuh ulaji gani huo hamna anayehamka na njaa asubuhi ni mazoea tuu
2026-09-06 13:40:14
0
shamaelah
SHAMAELAH :
nimeanza leo
2026-08-31 07:11:16
0
user409198958
Antony :
Jamani mzingatie, hii ni kwa mtu anaefanya kazi ganiii???
2026-08-31 15:46:55
0
fettybella8
Bella :
Naanza Leo
2026-08-31 08:20:58
0
makiswin
makiswin :
Nikweri mie nakula Mara moja nanimepugua uzito
2026-08-31 06:46:41
0
baby.rose215
Chloe🌹🔐 :
tunakushukuru doct jinabi kwa elim yako kwa watanganyika kajua afya zao wewe ndiye kiongozi wa kweli.
2026-08-31 09:38:00
0
user5734817285732
source :
mimi nakula kwa siku mara moja tu.Nakula vyakula vya protin na fibre zaidi.
2026-08-31 16:56:18
1
beautix16
Beautix16 :
İnafanya kazi nilikua nakuja na sukari sasa ivi niko sawa nashukuru mungu japo nimepungua
2026-08-31 08:02:55
0
user932006576015
omega :
nahapo unapaokula sio unakula wali kilo Moja au ugali nusu kilo hapana punguza na kula yako
2026-08-31 08:37:54
2
elizabeth.chikoti
Elizabeth Chikoti :
MM NIMEMUELEWA JE KAMA UNASUMBULIWA NA VIDONDA VYA TUMBO HUWEZI KUPATA SHIDA NA HII RATIBA YA MLO
2026-08-31 15:00:18
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About