@hunter_maraha: Tuambiane ukweli… ungeweza kusoma hivi mbele ya mume wako? 😅 | 📸WEKA BOOKING YAKO MAPEMA YA SHEREHE YAKO PICHA & VIDEO’S…📞0674763128 #foryou #tanzaniantiktok🇹🇿 #harusi #trendingvideo #huntermaraha

𝗛𝗨𝗡𝗧𝗘𝗥 𝗠𝗔𝗥𝗔𝗛𝗔 📸✨
𝗛𝗨𝗡𝗧𝗘𝗥 𝗠𝗔𝗥𝗔𝗛𝗔 📸✨
Open In TikTok:
Region: US
Monday 31 August 2026 06:21:27 GMT
165352
15615
391
294

Music

Download

Comments

daley442
Da ley🥰 :
mmewangu wa pili ntamsomea inshallah🤣
2026-08-31 07:53:06
121
naahmcmaneno
Naah #Mc Maneno :
Alafu Kuna mimi sasa niliye ishia arifu 😂😂 hapo labda mume wangu aokoe jahazi
2026-09-01 13:19:46
50
cute_nazzy1
Cute nazzy :
mlango wang pendwa nikaangukia kwa mlevi jina la mtume ni huzun
2026-08-31 17:40:22
60
mauwa362
mauwa :
tumswalie mtume
2026-08-31 18:37:36
41
jaja.qween
jaja Qween :
manshallah
2026-09-01 16:29:15
0
luhya.nats
najma :
kama ni hivi sioni nikiolewa mniombeeni😂😂😂😂
2026-08-31 20:45:15
32
nuuhdanur
Nuuh da Nur🇹🇿❤️ :
Mashallah Na mimi ntamsomea Inshaallah 🙏🥰
2026-08-31 06:34:35
15
omikiss966
omikiss :
mashallah mashallah mabrooq
2026-08-31 16:43:35
1
user3906193928576
Aisha selemani :
maxhll
2026-08-31 12:24:55
2
yaumu.juma
Yaumu Juma :
😂😂kumbe siku izi maulidi tunafanya wenyewe anae oa na anaeolewa
2026-08-31 09:21:14
40
bi_b03
Latifa bibo :
mashallah Allah bark
2026-08-31 08:47:47
2
ummyhuzayr7
Nurusaid72 :
nasoma bila shidaa na siogop ndy kwanza nasoma kwa utuliv
2026-08-31 13:11:33
6
aminurati
aminu :
Mashaall
2026-08-31 08:00:21
2
najmiry4
najmiry :
manshallah
2026-08-31 08:29:40
1
hasnatbigwira
Hasnat Bigwira :
Inshaallah ipo siku nitasom na mm
2026-08-31 19:09:55
5
nasramudrick5
🥰DA THUMAIY🥰💖💝 :
jamani kaka yangu huyo hajasoma madras, utamzalilisha wifi😁😁😁😁😁😁😁 kwishamimii
2026-08-31 19:11:20
6
mo.chupi.point
Mo chupi point :
Huy si abdullazizi au?
2026-08-31 10:29:56
6
user9091133081167
2554444 :
Kama walisoma wote madrasa hawezi kuogopa
2026-08-31 17:20:25
6
hhamisastore
HAMISA STORE :
Mashaallah🥰
2026-08-31 07:16:29
7
rukiamatola
matolaproduct :
Hii lazma nifanye kwenye ndoa yngu na huwa ni ndoto yngu na lazma itimie inshallah
2026-08-31 18:23:45
9
ummy2973
shaum :
insha'Allah mmewangu wa 2 nta musomea ☺️☺️☺️🥰🤲🙏
2026-08-31 08:27:33
8
mrst.p.24
NasraOg😍to♥️👈 :
mashallah Allaha ALLAH Àwalinde na kila shari ktk ndoa yenu inshallah🙏🙏
2026-08-31 09:01:52
8
iam_almaa26
Salma Bint Seiph :
mashallah
2026-08-31 20:01:21
1
mimah8976
mimah❤️ :
Mashaallah
2026-08-31 19:01:31
1
To see more videos from user @hunter_maraha, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About