@e.munyugu: Mwanamke usiwaze sana code hii hapa. Fanyia kazi unirudishie majibu kama imesaidia. #video #patience #calm #live #Love

Eliabu Munyugu
Eliabu Munyugu
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 06:27:23 GMT
77672
4969
266
98

Music

Download

Comments

annethmoshi
Anneth Moshi :
kwani mwanaume ni nani
2026-08-31 07:50:33
146
_iamcraly
craly🌻 :
Men know what they want ! Msituchoshe
2026-09-01 04:57:18
38
trice54322
Trice543 :
Jaman sasaiv mtufundishe njia za kupata ela tu, wanaume wanaume tumeshachokaaaaaa
2026-08-31 07:45:19
136
marietta.josephat
Marietta Josephath :
muwe mnawafundisha nawanaume jamani tunajishusha sana tunajitoa sana ila mwanaume haoni mchango wako
2026-08-31 07:19:21
38
rotarac
Hard to get 😎 :
Mtajiju bhna😂😂😂
2026-09-01 08:38:26
1
zouh_luxe.beauty
Zouh_luxe.beauty :
Ikumbukwe lakini👇🏻👇🏻👇🏻
2026-08-31 09:37:27
42
unknown.tz0806
@unknown :
na password ya kupata hela ni ipi
2026-08-31 09:16:40
10
hanja.girl
Hanja girl 👧 :
hata kama akupi pesa utulie
2026-08-31 08:31:09
8
aishajumanne437
Aysher :
mm nishaaribuuu😅😅😅💔🙌
2026-08-31 11:56:14
7
fridanka5
FridaNka :
🥹
2026-08-31 06:59:22
3
gloriah0640
Gloriah :
Mtajua wenyew
2026-09-01 11:53:18
6
msngajilo1
Ms ngajilo♥️ :
mi nimenyamaziwa kimya ila status zangu anakuwa wakwanza kuangalia shida nini hapo
2026-08-31 22:07:29
7
user5341493615916miry
its miry :
😂🤣😂nishavuluga kitambo kaka ulikua wapi🤣🤣
2026-09-01 13:06:27
6
_chibig
_chibig :
Hua unafundisha kuhusu wanaume kueleweka Iła unatakiwa ujue mwanamke nae sio chuma ni binadamu kama mnavyotaka kuelewek hivo hivo na wao wanataka kueleweka kwa nn ikija upande wa mwanamke hua mna panic 🫣kelele zinakua nyingi
2026-08-31 07:37:32
12
its.priscah6
official puli :
utulivu unaenda kunipa ndoa nilikuwa chiriku naongea hatari akawa ananinyamazia wiki mbili tangu nianze kuwa mtulivu naelekea ndoa 🥰🥰
2026-08-31 13:27:58
11
kasichanafetty
kasichana_fetty :
basi mi ndo maana kila nikiingia kwenye mapenzi naachwa🤣🤣🤣🤣
2026-08-31 10:36:16
5
tinnalepoq
Tinna |EPoQ :
Na ukimblock kabisa je?
2026-09-05 19:21:25
4
giftmohammed188
Gift mohammed :
sasa kam haitak hat nikimtest nifanyaj ukimtumia test hajibu ukioig hapokei eeh nipe code sasa
2026-09-05 15:24:12
2
angel.mchina308311
angel mchina3083114444146 :
kaka wangu mmmmh nimeliyacha 🤣🤣🤣🤣🤣mpakavwazazi wake walisema nikamronge🤣
2026-08-31 09:54:12
1
amjulie30
amjulie30 :
hii ni kweli %%%🥰
2026-08-31 08:37:20
4
neemamarwa75
Neema Marwa :
Nikweli kabisa bro.
2026-08-31 07:28:20
3
rebekagiofrey
Rebeka Giofrey :
Nipo Na Mwanaume Ambaye Akinipigia Cm Tunaongea Sekunde30 Basi😂
2026-09-02 14:52:40
2
ackleyelizabeth
Treasure😍 :
Mwanaume anaekupenda na kujal hisia zako atasikiliza malalamiko na kujirekebisha kwasab hatapenda kukuudh asiekupenda ndo ataona unamkera kiufup kaeni mnapopendwa sio mnapopenda
2026-09-01 12:35:16
4
milnasead
Milna ♌️ 💶 :
Mmmh
2026-08-31 06:36:14
2
elizabethj985
Aiem_lizzy❤️🥰 :
Umemaliza mkuu
2026-08-31 10:23:11
1
To see more videos from user @e.munyugu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About