kumbe unalipwa laki 3 wengine 50, 000 tu apa na bad ni familia😅😅😅
2026-08-31 08:21:42
20
LAZARUS :
Too risky to post😂😂
2026-08-31 09:31:48
4
Jane❤️ :
Hii nchi hatujawahi kupumzika tangu October 29🤣🤣🤣mara Wema kajifungua,punde si punde Zuchu na baby shower hatujakaa Sawa miaka30 ya Bongo flavour na tunaanza kukaa Sawa Dotto Magari kaathirika,Dotto analeta vipimo kutoka Zanzibar mara Nchimbi anatupanga tudai katiba kabla hatujakubali Wema kawa single mother tunaanza kutaharuki Baba Nchimbi kajiuzulu haya tunaamka asubuhi kumbe CCM walimfukuza huyu Mzee sasa ndio nataka kutulia nakuta mwamposa kaangushabmchawi huko Arusha alikua anatoka bariad kwenda mbeya daaa hii kasheshe nayo🤣🤣🤣
2026-08-31 07:18:41
12
pili :
nimecheka mpaka kis1mi kimemwaga Ute 🤣
2026-08-31 07:04:48
5
Emmanuel Msanga :
😳kaka hyo laki 3 nikilipwa mzee hyo kwangu ni zaidi ya familia 😂😂😂😂😂😂
2026-09-02 05:42:54
1
Monica Alute :
yaaaaan bado unaniandama Tu
2026-08-31 07:10:23
5
EMMY BEAUTY STORE💄👸 :
Laki 3 ipumzishe 🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 15:47:42
1
Winifrda steven :
Anaongelea sana kwenye laki tatu kuna ss apa sitaki kucheka yan🤣🤣🤣
2026-08-31 08:58:13
3
Ethan_carter :
Apo kwenye laki tatu utupumzishe jmn kila tukiamgalia clip unataja laki tatu mpk tunaona kuteseka kazn😃😃😃😃
2026-09-01 10:55:14
3
joyfull 💍 :
we jamani nipo na boss hapa kaniangalia kwa kujishtukia😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-31 06:37:05
8
Lovie :
Bora laki3 kunamtu huku analipwa laki moj na bado anaambiwa atafukuzwa ma boss wanafk mnoo
2026-08-31 09:38:04
0
Dada wa ukoo💓💓💓 :
kumbe wenzang mnalipwa laki tatu
2026-08-31 19:55:39
2
FESTO JR2️⃣8️⃣🫰 :
wapi uko mnalipwa laki 3😂😂😂
2026-08-31 12:19:03
1
THONY TZ :
bora wanao lipwa laki tatu sijui tunao lipwa 50k kwa mwezi tupo kundi gan😂😂😂😁
2026-08-31 06:40:56
5
docky. :
waz
2026-08-31 06:37:51
1
game prayer :
kumbe kuna watu mnalipwa 30k wakati mimi najitolea
2026-08-31 11:50:39
3
²¹ ˢᵃᵛᵃᵍᵉ 🇦🇪 🌎🇹🇿🍁 :
wapi huko mnalipwa laki tatu jaman😅😅😅😅
2026-08-31 07:01:56
2
Lizzie👮 :
kaka unatakaje jmn nikiacha Kaz nakuja kwako
2026-08-31 06:37:41
3
Tumaini Omary :
😂😂😂 nimetoka kuambiwa juzi tu 😁😁😁
2026-08-31 07:10:37
4
Malkia_store🛍️🎀 :
Si bora nyie mnalipwa 300k😂
2026-08-31 17:50:17
1
To see more videos from user @katango79comedian, please go to the Tikwm
homepage.