@emma.knowsmore: Inawezekanaje Uwe Na Maono Makubwa, Utafute Mtaji, Utafute Frame, Ukafunge Mzigo Then Ukianza Tu Biashara Kabla Hata Ya Miezi Kadhaa Unaanza Kuona Biashara Ni Mbaya.? Haikulipi Au Haupati Wateja.? Kabla Hujaanza Ulikuwa Na Imani 100% Na Ulikuwa Unatamani Sana Uanze, Ulivyoanza Imani Yako Ikashuka Mpaka Asilimia 60% Kwasababu Wateja Hawakuja Sindio.? Na Sasa Hivi Una 0% Yani Unatamani Kuuza Hilo Duka Kwasababu Unaona Ni Mzigo Kwako.? Niamini Mimi HUJAROGWA Ni Wewe Ndo Umejiroga Kwa Kuruhusu HOFU Izidi Yale Maono Yako Na Maono Yako Yalikuwa Na IMANI Na Hakuna Namna Utaweza Kutumikia Vyote Lazima Kimoja Kife Ili Kingine Kiishi. Ukipanda Mbegu Unaifukia Chini Na Hauioni Sindio.? Lakini Haimaanishi Kuwa Haipo. Vile Vile Kwenye Biashara Yako. Anza Kuona Wateja Wanafurika Hata Kama Hawapo, Utawavuta Tu Kwasababu Kila Kitu Ni ENERGY🙌🏽 Napokea Private Consultation Kwa Wote Mnaostruggle Kufanya Biashara, Mahusiano, Kubadili Tabia Na Mengine Mengi, Hata Sio Gharama Kubwa😊 Je Hii Itakuwa Imekusaidia.?😎
EMMA KNOWS MORE😎
Region: TZ
Monday 31 August 2026 06:34:54 GMT
Music
Download
Comments
kasily Home🧿 :
natamani nisikie hii tena natena❤️🥰
2026-08-31 07:42:11
13
Mam_😍 :
CHAGUA IMANI IENDANE NA MATENDO📌
2026-08-31 18:45:35
8
alvin deus :
kupata mafanikio ni rahisi kuliko kubaki kwenye mafanikio huwezi kubadilisha matokeo usipobadilisha sababu ( law of cause and effect)
2026-08-31 14:45:58
16
Mr kaicy....or mr vision :
sahihi ndg..inshaaallah
2026-09-12 12:40:38
3
Luckie🦋 :
Chosen one❤️yani sijui nisemejee jamn
2026-09-01 12:48:09
2
NEYA 👑🎀 :
Wewe kweli ni Emma knows more🥂
I'm glad I found you
2026-09-02 12:45:28
1
Jancho Cannabino :
i got u
2026-09-11 13:09:13
1
Aliloo Store 🎀🛍️ :
Baaaasi 🙏
2026-09-01 15:03:22
1
𝖩𝖺𝗒𝗍𝗋𝗈𝗇𝗂𝗑_ :
👏🏻 Sense of meaningful logic.
ila nimejikuta apa najiuliza umewezaje kuongea dakika zote 4 na dakika 53 without blinking...!?? 😅😅
2026-09-14 11:01:54
2
queenie_glory❤️ :
thank u br.
2026-08-31 18:43:16
1
Queen Leo :
jamaniii natamani kufanya biashara ambayo haihitaji kupost ndio niuze☺️☺️
2026-09-14 05:14:31
1
Naureen ❤️ :
Asnte
2026-08-31 16:26:55
1
uniq store :
barikiwa sana 🙏
2026-08-31 15:06:48
1
OntimeHomestore :
Mungu wangu hii ni kwa ajili yangu
2026-08-31 21:58:27
5
Mrs nata :
Ahasante
2026-09-01 19:24:58
1
The Pure Purple Heart 💜 :
Everything is energy 📌
2026-08-31 16:15:46
2
Rose Mwitumba :
Ameen
2026-08-31 18:07:17
1
Nayester💞 :
fact👌
2026-08-31 17:32:06
1
Janeth🦋 :
Imenikuta wakati sahihi sanaaa asante
2026-08-31 18:00:18
3
Charity :
what a genius 😍
2026-08-31 08:27:30
3
monteh :
nikakupoteza😢
2026-09-02 10:42:26
1
Joshua Msuya - Business Growth :
Sisemi hauko sahihi, sisemi uko sahihi. Biashara ni mfumo, kama mfumo haujakamilika huwezi kupata matokeo, ni sawa na kusema utoe feni mapanga na utegemee ukiawasha hio feni itoe upepo. Biashara ni ngumu kwasbb hujui kuyafuta wateja, baishara sio frame wala mizigo, mi mfumo wa kuuza thamani kwa watu wanao ijua na kuelewa. In short haya ni mawazo mengine tena, na haya yanatuchanganya zaidi, ukiachanyana na new age spiritualism then utakaanga saana watu, inakaa kitu kipya lkn ni kama dini nyingine tena, mbona sioni ukionyesha watu geti la uhuru wao?
2026-09-23 08:17:38
0
Mwajey Salum :
R U LIBRA???
2026-08-31 12:55:13
2
Anna HerbalGlow :
watakuita emma mm nipo kwa aura glowing😂 thank you bro🥰🥰
2026-09-01 09:17:20
3
🦋🦋zuuh🦋🦋 :
Emma knows more🙏
2026-08-31 13:08:21
2
To see more videos from user @emma.knowsmore, please go to the Tikwm
homepage.