@huzuni_za_dunia: Kuna watu ukilala nao hata mara moja lazima upate mimba na hizo mimba zao hata uchokonoe na mwarubaini hazitoki. 1.Waendesha mikokoteni. 2.wazibua vyoo. 3.wachimba mashimo na makaburi. 4.wazoaji taka. 5.wabeba matenga sokoni 6.wabeba mizigo. 7.wauza sumu ya panya 8.wapiga debe 9.saidia fundi Sasa we jichanganye mwanetu,na muda wowte jiandae kuwa singo mama
huzuni_za_dunia
Region: TZ
Monday 31 August 2026 06:37:33 GMT
Music
Download
Comments
Jojo❤️ :
Umesahau ya mume wa mtu
2026-08-31 18:24:07
4
🌚🎧 :
ndo nmekuja huk kuangalia ushuhuda 😅😅😅
2026-08-31 15:34:46
2
Rashma :
boda boda umesahau mwenetu
2026-08-31 09:45:28
8
Eutropia Swai :
mwizi je na kibaka unewasahau aisee
2026-08-31 14:03:39
4
Sabrina 💋 :
Hhhhh nimecheka 😂😂
2026-08-31 17:31:24
1
shahadi :
Dereva wa lori pia
2026-08-31 17:03:41
2
babe huu 🦋 :
kwa nn
2026-08-31 16:12:00
1
Nanatheboss :
Naomba kuuliza
2026-08-31 18:39:47
1
Hamis Mkojo :
kwaiyo unatakajee
2026-08-31 18:41:19
1
🍏 apple :
Haha
2026-08-31 09:04:39
1
Wisdom is better 🤔 :
na seminarians hii muhim
2026-08-31 12:23:35
1
hitulilo :
mmmh
2026-08-31 08:25:10
1
Derrick ED :
hapo kwa saidia fundi sjapenda😂
2026-08-31 18:14:13
1
Miss@Daylan ❤️ ❤️ 💖 ❣️ :
sina lakusema aiseh
2026-08-31 09:38:37
1
official tunkoeta🤑🥀🔞 :
Daaaah
2026-08-31 20:15:23
0
Salome_robert :
imebidi tu nicheke 😂😂😂
2026-08-31 19:30:59
2
Mariam jafar :
Pata tajir ukipaliwa maji mimba yatoka yenyewe😂
2026-08-31 17:58:29
2
maokoto rider cycling race :
ivyo kwanini umechagua watu wenye kazi ngumu
2026-08-31 18:02:20
1
elizabethlazaro944 :
umewasahau wachina wanaotengeneza barabara Tz,nanilazma azaliwe mchina tu hat iweje😁
2026-08-31 17:40:17
1
mansab_notification :
nikweli mm asilimia kubwa ya wanawake nilio lala nao wanabeba mimba hata kama hawapo kwenye sikubza hatari
2026-08-31 17:23:12
1
Charles :
Mimba zinakuja na password 😁
2026-08-31 17:14:54
1
. :
mafundi aliminium 😂😂😂😂
2026-08-31 15:13:28
4
To see more videos from user @huzuni_za_dunia, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.