sio siri huu wimbo unapenya hadi ndani ya damu mwili unasisimka hatariiiii❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-31 11:18:50
99
Mumymo :
powerful
2026-09-03 02:55:03
0
@KanumbaD :
Jubilee colour 🤣🤣🙏🙏☝️
2026-09-03 22:20:10
1
supervisor :
good song
2026-09-02 18:25:26
1
I need more friends. :
𝑆𝑎𝑚𝑎ℎ𝑎𝑛𝑖 𝑀𝑘𝑢𝑢 ℎ𝑢𝑢 𝑤𝑖𝑚𝑏𝑜 𝑢𝑛𝑎𝑖𝑡𝑤𝑎𝑗𝑒
2026-08-31 19:37:03
10
MARIUS OSCAR :
wimbo unaitwaje
2026-09-01 09:49:40
8
Seif hamadi Chande :
Bado tunaimana na chadema na Bado tunaimana na lissu na Bado tunaimana na viongozi wote wa chadema chadema nguvu moja
2026-09-01 06:48:34
17
Isaya mkalawa Isaya mkalawa :
mungu mkumbuke risu
2026-08-31 19:11:27
8
malongo :
kwan hawa wazee hausikii tu huu wimbo jaman nyerere mbona aliweza kuipambania tanzania kwakua kashatangulia mbele za haki wamuunge mkono lisu wasikae kimia haya anayoyapitia shujaa huyu lisu nikwaajili ya vizazi vyao na wajukuu
2026-09-04 09:34:50
2
phodenikeneth :
kwaiy kiongoz ameachiwa au
2026-08-31 23:30:36
5
Unicorn Allianz :
Asante sana! Bado tunasafari ya kulijenga taifa. Wimbo full upo @uafoundry kuanzia kesho utapatikana YouTube. 🥰🥰🥰
2026-08-31 17:09:49
8
user7907421881251 :
hongera vijana tunawapenda
2026-08-31 15:42:07
6
king Elia :
HII NYIMBO 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-31 21:18:59
0
user4874524467203 :
nawapend sana
2026-09-01 02:59:15
2
Winie♥️🤍🩵 :
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️one Day mungu atatukumbuka
2026-09-02 08:59:52
1
Ev Emmanuel Norbert :
Imani yangu imehamia chadema kwa sasa, na nyie mkiboronga mm na siasa basi
2026-08-31 17:52:57
8
itz_. dat.gal :
chadema na Simba mpaka uniuwe walai
2026-09-01 12:56:16
1
Shine🇹🇿🦋💫 :
Wimbo mzuri sanaa🥰🥰🥰🥰
2026-09-01 14:05:11
1
mark magari :
tanaamin katika mungu atutiae nguvu tutashinfa tu💪
2026-08-31 16:01:23
8
Happy jaston Jaston :
mungu yupo pamoja nasi
2026-09-01 13:07:35
1
Rashidi :
nyimbo yanan hii mbona ina mvuto
2026-09-02 10:22:51
1
Davius Thomas :
itakua furahaa kubwa lisu akiachiwa huru aise
2026-09-01 20:51:47
1
busbess :
siku zaja tutafika tunapotakiwa kufika tupaze sauti ze2,,
2026-09-01 19:50:54
1
Manka Mushi68 :
hivi nafanya nini ccm na chadema ina nyimbo nzuri. wasomi wazuri. wanakilakitu asee nakujeni nipokeeni
2026-09-01 11:57:10
4
mwalimuM :
😘😘😘💯
2026-09-01 22:13:24
1
To see more videos from user @abbykgm, please go to the Tikwm
homepage.