@siasatz: Oyaa wakali wa danta sanukeni mkitua kutoka Lindela (SA🇿🇦) tumbeni kwenye haya machaka maana nyumba zenu za urithi zishauzwa watu hawana muda wa kupoteza😂🫡. Alafu mkiwa huko kwa Madiba mnatamba sana mnaita wenzenu waje kumbe hamna maisha dah. Wenzenu wakija mnawazimia simu waanze kutubu. Mkirudi huku mnakuja na cheni za silver za wizi 🚮 #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30
siasazetu
Region: TZ
Monday 31 August 2026 07:01:51 GMT
Music
Download
Comments
RICHARDI JOBU :
Kumbe Dar kuna Vyakula vya bure na hamsemi
2026-08-31 13:39:08
7
Locks stylin :
Umesahau Upanga
2026-08-31 08:33:38
3
roshm 95@ :
mbona maulana 😄
2026-08-31 08:38:03
2
user498516046 :
wanauz vyakula vya bure????
ndo nn sasa
2026-08-31 07:34:51
0
Luku :
Code hizo
2026-09-13 15:11:13
0
Joseph Adson :
Kumbee Ndioo hivyoo 😂😂😂😂
2026-08-31 10:28:02
3
Jawahir :
Alhamis msikiti wa opposite CBE
2026-08-31 14:14:37
2
officialvassotz :
😂😂
2026-09-13 14:00:40
0
thulanindlovu568 :
2026-08-31 18:09:32
1
ramso house :
au tiki toku 😂😂
2026-08-31 16:40:02
0
Titus Homange :
kabisa man
2026-08-31 08:41:22
0
chandejuma70 :
oya huku cyo south mwangu. ngungwa ngungwa mwanangu.
2026-08-31 10:03:10
0
mkomicyprian :
mnapenda vitu vya bure
2026-08-31 13:36:55
0
BABA G :
kuna @hesuinvestment piia karibu 😁
2026-08-31 08:48:08
0
Maneno Fundikila :
utagonga kaka
2026-08-31 07:58:01
0
georgewatson753 :
vyakula vya bule posta na maeneo mengi wanagawa tangu enzi za kikwete
2026-09-02 13:11:59
0
mzee wa maclimber :
Ni Ulaya Siyo Uraya😂😂
2026-09-03 18:24:12
0
sarah ibrahim :
ulamaa wa Durban ndio alikua anawapa kaka zetu chakula🤣🤣🤣
2026-08-31 17:40:24
0
Abdallah Kipisi :
😳
2026-08-31 13:13:16
0
faiza Ally Love kipenzi 💋💋 :
🤣🤣🤣🤣
2026-08-31 13:31:03
0
cute lips 👄🌹 :
🤣🤣🤣🤣
2026-08-31 14:39:25
0
Regina John :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 14:25:04
0
thulanindlovu568 :
🤣😂
2026-08-31 18:09:18
0
Kiba wa Buza :
😂😂😂😂😂
2026-09-02 15:21:08
0
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.