@fredmsungu: MAISHA NA UTUMISHI- Part 1 Mathayo 6:24, Yesu anafungua code kubwa kuhusu uhalisia wa maisha na dhana ya mafanikio makubwa. Kitu kikubwa kinaonekana hapa… maisha yamefungamanishwa moja kwa moja na utumishi. Na kiwango cha mtu cha utumishi (service) kwenye upande aliopo ndiyo kinaamua kiwango cha mafanikio yake. Ambayo kimsingi kwenye ulimwengu wa roho ni uwezesho tu kwa ajili ya kutumikia kusudi unalotumikia. Kweli hii ukiielewa itaanza kukupa kutafakari kwa kina sana juu maana ya maisha.

fredmsungu
fredmsungu
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 07:08:27 GMT
1693
330
7
9

Music

Download

Comments

neyllne
neyllne5 :
i wish siku moja nije kuabudu kanisani kwako pastor
2026-08-31 07:16:26
2
love26blue
💙Love to love🥰🦋 :
Sema amen
2026-08-31 09:23:26
0
shivo884
shivo :
Amen 🙌
2026-08-31 09:38:43
0
pastor.richard.jerry
PASTOR RICHARD JERRY :
deep
2026-08-31 07:48:56
0
soso_homedecor_dodoma
Soso_homedecor_dodoma :
Amina Asante sana.🙏
2026-08-31 08:37:03
0
modekaimgeni
Mr Mgeni :
🙌🏽🙌🏽
2026-08-31 08:01:54
0
frandy1726
frandy17 :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-31 09:11:35
0
To see more videos from user @fredmsungu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About