yaani ni raha saaana kumalizia uzee wako kwa ukiwa kwa Yesu🙌🏽
2026-08-31 13:25:59
962
Monyore KE :
Be blessed shosho aky
2026-10-16 08:09:23
0
kijana wa busara :
huyu bibi najua anaweza sana tumpe like tu
2026-09-01 13:37:31
368
TUZO JEROME TZ ✅ :
Mzee wetu atunzwe
2026-09-01 10:12:45
149
hans brand@ :
umenigusa sana bibi mungu akujarie afya njema endelea kupeleka injili ote tunapokea 🙏
2026-08-31 14:22:08
272
Stephan M2 :
ameen bibi angu mzuri
2026-08-31 10:13:27
160
Irene santos😍🤗 :
Afadhari bibi yangu amechagua kumtumikia Mungu mpk uzeen😭🙏❤️🫂 Mungu azidi kukupa kibali Grandmaaa
2026-09-01 10:12:30
88
user8759248550940 :
anaejua jina la wimbo anambie please
2026-08-31 14:07:17
69
sellah matebo :
anaimba vizuri sana. better than ule wa nimekuja kusema
2026-09-01 18:44:37
30
Pretty black 🖤 :
Nataman niwe na mwisho mwema ndan ya Kristo YESU 🙏🥹
2026-09-03 11:58:18
42
malikiarecho :
Ameeen Mleeee mtoto katka njia mpasayo nayo hatoiacha ata atapo kua Mzee
2026-08-31 16:10:30
29
Meliza Ray :
Be blessed shosho ❤️❤️🫂 🙌
2026-09-03 08:28:11
8
anhez :
donnes moi aussi cette grâce de vieillir en toi seigneur
2026-09-01 10:56:21
6
molongwe majile :
swali ni kwamba hiyo milango mitatu mbinguni ipo kwa ajili gani, na inamlinda nani against nani😳
2026-08-31 17:51:01
9
Menady :
Wewe unayesoma comment hii, Mwenyezi Mungu akufungulie milango ya riziki na kukufuta jasho la dhiki. Kama unalala ukilia kwa mawazo ya jinsi utakavyoamka kesho, ukijiuliza utawalisaje watoto au utalipaje madeni yanayokunyima amani, Mungu anayejua uchungu wa moyo wako akawe msaada wako wa karibu. Akakufungulie milango ya baraka mahali ambapo huoni njia, akubariki hadi wale waliokudharau na kukuona huwezi kitu wakashangae jinsi Mungu anavyoinua watu wake kutoka mavulini.🙏🙏
2026-09-04 09:12:43
66
Maria Josia :
Amina sana bibi Mungu akuzidishie uzima sana kweli kwa Mungu ni raha mlee mtoto ktk njia imupasy hataiyacha hata akiwa mzee kweli kuwa msabato ni raha sana
2026-08-31 09:14:45
62
shirimati :
hivi ndivyo mtu anafaa kuzeeka, sio kuzeeka wakilaani watu 🤣🤣🤣❤️❤️❤️❤️
2026-09-14 18:41:38
9
Erick gadson :
samahani bibi huyu anapatikana wapi jamani
2026-08-31 17:24:30
7
Evangelist Billy :
but why me! please God forgive me 🙏🙏🙏🙏
2026-09-01 08:44:46
17
marry joel :
barikiwa san mama. yangu mungu akulinde bado uko na sauti nzuri
2026-09-01 04:09:27
6
buyenzeluciagmail.com :
bib from maganzo S.D.A mbaraka mkubwa sanaa
2026-08-31 19:38:14
6
Sarah Chegere :
mwenyz Mungu mkumbke hyu bbi katika ufalme wa mbingn
2026-08-31 16:49:56
10
stellar mcute :
Wah mamaaa hongera sana na utapata wamama wengine waumri huu ni urogi tuu nakufundisha wanawao urogi ,,barikiwa sana mamaa
2026-09-03 09:16:52
7
Olaramatani :
this has reminded me back in 1989 when i was a little boy.
my Dad used to teach us this song
2026-09-01 02:40:45
15
zabe :
jina la wimbo please 🤣🤣🤣
2026-08-31 15:10:11
21
To see more videos from user @janeth.mangu, please go to the Tikwm
homepage.