@singomediatz: Moja ya sehemu ya Mawaidha ya Sheikh Muharam Mziwanda katika hadhara ya Maulid ya MTUME Muhammad (s.a.w) ya Madrasat Uhuru iliyopo Mwembesongo Morogoro Mjini. @omary_baggo Video kamili ipo YouTube Channel yetu ya Singo Media nenda ukaitazame yote ujifunze zaidi inshaa'Allah. #reels #viral #creatorsearchinsight #alixmiamiswimsuit #createsightinsight @Omar Baggo
Gharama ya maulid moja 70m lkn likija suala la maendeleo ya uislam ni msiba
2026-08-31 11:18:43
14
thinker_tz :
shekhe ongea chap uondoke hapo unanimalizia bando langu
2026-09-01 09:50:54
1
ghalib :
bora hizo pesa wangejenga misikiti
2026-08-31 12:54:18
5
Juma Muta :
shekhe upo sahihi Allah akupe umli mrefu🤲
2026-08-31 10:05:33
4
hassangweli :
mazazi ya mtume mngeazimisha kwa kuwapa wajane, mayatima, wagonjwa na watu wenye mahitajio maalumu sio kila mwaka mnakusanyika kwa jambo hilo hilo wakati kuna mambo mengi ambayo mnaweza kufanya kwa kuazimisha
2026-08-31 13:00:32
3
shureymu :
nikwel kbs umeongea mwalim wangu
2026-08-31 13:51:27
4
Btk hawa 🥰🤩 :
ukweli kabisaa shekhe allah akulipe
2026-09-01 17:05:02
0
mister counsellor :
mashallah sikuzote ukweli inauma
2026-08-31 10:00:17
2
Abuu Dhulqarinain :
SIMUACHEE
2026-08-31 09:59:39
2
Mohamed Ally :
kuna maulid nlienda qaswida tatu tu mawaidha kama yote ilikua🙌🏼🙌🏼🙌🏼 tena halina dufu
2026-08-31 15:01:32
5
babusaid272 :
hapo ujumbe umefika kwa maana madufi ndiyo yenye thamani cy mashekhe wenye thamani
2026-09-01 09:55:21
0
Hussein Muslim jr :
nakubali San shekh wangu huyu
2026-09-01 07:12:47
0
Abuu safdar :
iyo maulidi yenyewe ni usanii alafu ikaingizwa tena sanaa
kwaiyo inakua ni usanii ndani ya jumba la sanaa
2026-09-01 07:59:26
0
Anita Membe :
walijalibu kukufananisha wakajalibu kukulinganisha umebaki mwenyewe ila yesu
2026-09-01 10:38:41
0
khamso Yussuf :
sio uhuni tu Hayo maulid hakufanya mtume wetu mnazusha mambo tena mnaanza kusema uhuni
2026-09-01 05:22:45
0
Thabeet22 :
kweli shekheeee naungana n wew
2026-09-01 13:02:35
0
NURDIN' SON :
sahihi
2026-08-31 13:14:12
2
kheri :
shekhe dah umeongea pwent ongerasana uujumbe ufike madrassa zote tanzania.
2026-08-31 11:03:07
0
ZaituniAthuman :
ni kweli shaykh
2026-09-01 07:31:53
0
shaxpier :
asa si mkae muongee mkubaliane jamani mnatutatiza!!
2026-08-31 16:03:17
0
Saada Juma646 :
Mtihani wallah 🥺🥺🥺🥺
2026-08-31 16:49:55
0
Abu Xani🇹🇿🇸🇴 :
Hao walioamua dini si ni nyinyi?? Au kuna sheria iloweka kanuni maulidi iweje??
2026-09-01 03:25:08
0
Abdul Basety :
👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍Allah akupe kauli thabit shekh wetu unasema Kwa haki lakwel bila kusit Wal kuangalia watu uson Allah akulipe wakila pumziyako
2026-08-31 20:23:34
0
CAPTEIN :
kipindi napga dufu mm hayakuaga kama ya miaka hii kiukwer Bora yakemewe tu maana ckuhiz hawapgi dufu kwa ustaarabu kwanz weng wanaopga dufu wanakuja na washalewa
2026-08-31 08:37:17
0
mil :
Kila muovu ana siku yake. Firaun alitesa watu miaka mingi sana. Yuko wapi Leo?
2026-08-31 07:51:53
2
To see more videos from user @singomediatz, please go to the Tikwm
homepage.